Hatimaye udsm kufutwa

Nipo ATM hapa MIST-NAKULA BOOM LANGU TU.
Wapi Sauti, st augustine wamewakumbuka nyie?
Big up SUA atleast mpo kwenye top 100 za vyuo africa,
 
Hoja hapa ni kujadili ubora wa vyuo au?Nawashauri mpate nafas ya kusoma kla chuo ndo uxeme chuo gan bora au la!Uchuo kikuu umeingia jamvin unaleta mkanyko 2jihadharin!
 
kama mpango huo upo utakuwa ni long plan na pengine usitekelezeke kabisa,mkuu unapotoka kulinganisha udsm na saut wakati watu wenyewe hata hawajitambui na hasa wanapoogopa hata haki zao za msingi.hv kama kashindwa kujitetea mwenyewe atamsaidia nani?
 
Wanataka futa halafu wabakize vyuo vya kata? Mbona ndo 2tashuhudia vpji vipya zaidi kwny bongo flava?
 
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
my take .. st agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm

Kaka uko mwaka mwaka wa ngapi hapo SAUT?au ndo unategemea kujiunga nacho?
 
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
my take .. st agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm

st.agustine???
 
Sauti................. Ndo nn? Wanafunzi hayajitambui,maoga kudai haki ka bumu n.k usilinganishe udsm na sauti kwa level zote
 
mods jf mmeiacha imekuwa kama facebook? Watoto wapumbavu wamejaa humu, sina hamu tena na JF.
:yawn:
 
Labda kufutwa kwa baadhi ya prgm za undergrad lakini sio rahisi kwa zote kufutwa, mfano wanafunzi wa engineering utawapeleka wapi, itahitaji miaka mingi sana kuweza kufanya maandalizi na kuwatoa pale.
 
huyu tracy wa njiro atakuwa na matatizo si bure,yule waziri aliyekuhonga gari ndo kakueleza hayo...st agustine ni nn by th way,degree za kisanii tupu,nyie mtashindana kina KIU
 
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
My take .. St agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm

we mgonjwa.!!
 
kwa habari nlizonazo za uhakika toka viongozi wa juu chuo kikuu mliman kina mpango wa kufuta undergraduate degree zote na kubakisha masters phd na kuendelea hii inalenga kutengeneza lectures na hazina ya taifa
pia kutokana na chuo hicho kuachwa nyuma katika mambo mengi ya kimataifa ikiwa pamoja na wanafunzi kutokushiri mashindano yoyote ya vyou, chuo hicho kimekosa mvuto.
my take .. st agustine kinakimbiza sana ni chuo kizuri kutake over udsm

Hiyo programu ipo tayari toka muda mrefu, na si undergraduate zote zitafutwa, kwa mfano Law watabaki na fani zingine ambazo vyuo vingine haviwezi kutoa zitaendelea kutolewa pale.

My take: Kufananisha Udsm na St. Augustine ni sawa na kufananisha Mbingu na Ardhi
 
Back
Top Bottom