Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,968
- 2,460
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi wamepangiwa vyuo vya ufundi, ualimu na vingine hasa shule za ufundi ilhali wamepiga vizuri hadi wenye point 8 (walitaka wenyewe) je kwanini Advance kugumu washauri au kupenda dezo ?
nakuwekea link