Hatimaye Samatta aifungia timu yake goli

Kuna watu hawajui wenzetu wanafuatilia nini kwa mchezaji .... maana haishii kwa kufunga tu lakini pia wanaangalia mchango wako uwanjani,umeisaidia kwa kiasi gani timu yako tangu ulipoanza kuchezeshwa .........wakishaangalia wastani wa muda unaochezeshwa na bidii unazozifanya ndio wanakuwa na majibu ya kwamba huyu hatufai au lah.
 
"Hatimaye Samatta aifungia timu yake goli"

Inamaana tangu ajiunge hajawahi kufunga....?
 
Kuna watu hawajui wenzetu wanafuatilia nini kwa mchezaji .... maana haishii kwa kufunga tu lakini pia wanaangalia mchango wako uwanjani,umeisaidia kwa kiasi gani timu yako tangu ulipoanza kuchezeshwa .........wakishaangalia wastani wa muda unaochezeshwa na bidii unazozifanya ndio wanakuwa na majibu ya kwamba huyu hatufai au lah.
Yeah kweli mkuu, mfano leo amefunga goli moja, lakini kwa aliyefuatilia ile game pia yeye ame assist kupatikana kwa goli jingine, na inatokeo hivyo mara nyingi
 
Daa, leo nimejitahidi kusoma habari za michezo baada ya miaka kadhaa kwa sababu tu nimesikia Mbwana Samatta. Kila la kheri...
 
Amechangia goli tatu.La kwanza penalt kachezewa rafu yeye,la pili kafunga yeye na la nne alitoa pasi yeye ya goli.
Ile shida ya kushindana kufunga aliyokua anakutana nayo na akina kalaba tp mazembe naona kama ataipata kwa Nikos Karelis
 
Ile shida ya kushindana kufunga aliyokua anakutana nayo na akina kalaba tp mazembe naona kama ataipata kwa Nikos Karelis

Karelis ni mchezaji mwenyekipaji kikubwa sana na kamuacha mbali samatta.ila tatizo la karelis si mzuri kwenye kukaba, na hicho ndicho kinachomfanya kocha ampange samatta sana kuliko karelis.Ila kwa sasa inaonekana kocha anataka kutengeneza combination ya karelis na samatta.itakuwa bonge la combination.
 
Back
Top Bottom