mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,596
- 8,878
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu muda huu kuna mechi kati ya genk anayochezea mtanzania Mbwana Samatta na sporting charleroi mpaka sasa timu ya samata inaongoza goli 2 huku akiwa amefunga goli la pili ni mechi ya kuwania kufuzu kucheza mashindano ya europa ligi