venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 1,677
- 1,592
Nataka mchumba ambaye baadae atakuwa mke, Baada ya kumaliza stress za kupata kazi na kutulia nimeona nivema nipate mwenzangu kama mchumba sasa hivi ili tuandaane kwa miez isiyopungua 10 mpaka ndoa,
Nimeseti vigezo vya kumpata Mke lakin naona kama vile sitampata, nishaurini nipunguze vipi niongeze vipi am serious,
Sifa
1. Awe na umri 23<
2.mwenye elimu isiyozidi diploma , wa degree wanasumbua sitaki ligi Nyumban kwangu maana wanajifanya wajuaji sana,
3. Asiwe ana dalili za kusoma sheria uko nyuma, waliosoma sharia wasumbufu
4. Awe mkristo.
5. Awe muhaya, au msukuma. Au awe karagwe hawa ninwastahimilivu
6. Awe na passport ya kusafiria kama hana basi awe na uwezo wa kuipata
7. Awe na bikra, please isiwe artificial, iwe natural
8. Awe na uwezo wa kujishughulisha hata nikifungua biashara iwe rahisi kuendesha
9. Awe msafi,
10. Ajuae mapishi,
11. Awe tiyari kuishi nje ya Tanzania,
12. Atambue nshatembea na mwanamke anayenizidi umri, nimetembea naye kwa wiki mbili, ila nimemuacha baada ya kufanikiwa nilichotaka
UMBO NA MWONEKANO
1. Awe angalau na urefu unaoridhisha
2. Awe maji ya kunde ,
3. Awe mwenye vi hips sitaki mbawa
4. Asiwe mwenbamba sana,
5. Awe natural sitaki mawigi ya Brazil mi au Russian,
6. Asiwe anatumia mkorogo kabisa yan.
7. Asiwe na kifua kikubwa kama wanyanyua nondo I mean asiwe na maziwa yaliyopitiliza,
MAHUSIANO NA NDUGU
1. Awe tiyari kuwapenda marafiki zangu na ndugu maana bila wao nisingefika hapa,
2. Awe tiyari kuwaheshimu wazazi Wangu na kufuata kila watakachosema, na pengine kushauriana nao kwa heshima kama kuna jambo La kurekebishana,
3. Awe tiyari kusaidia wasio jiweza , kama kwenye vituo vya watoto yatima, wazee , wajane na wenye matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu,
4. Awe tiyari kuwaheshimu ndugu na wazazi wake pia na kutambua kuwa ndio walimlea ,
5. Ajumuike kwenye shughuli za jumuiya mbalimbali
6. Asiwe mpenda siasa na vyama vya siasa kupitiliza , Mara hapa kazi tu sijui ngangari , sijui UKUTA, hayo sitaki
IMANI NA MUNGU
1. hasiwe mshirikina
2. Ajue kusoma biblia na kwenda kanisani maana ndo sehem ya kupatia baraka za mungu ,
AFYA
1. Awe tiyari kupima kaswende, Gono, UKIMWI, kizazi, Na magonjwa ya asili,
Naomba mnishauri nipunguze kigezo gani? Maana nimetumia vigezo hivi yan vimezidi hata eligibility criteria za kujiunga UDSM nipunguze kipi maana nimetumia hivyo nahisi kila nayemuona hafai,
Pia naomba kujua naweza pata mchumba au Mke jf akafaa?
Kwa mawasiliano ni PM serious issue