Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

Waje kujifunza CCM kuliko na siasa za kuvumiliana zinazoendana na vikao vya amani vitoavyo ruksa ya kukosoana kwa nia ya kukijenga chama na nchi kwa ujumla
CCM wana yapi ya kufundisha watu zaidi ya kuspoil watu??hivi wewe unaona suala la ufisadi ndan ya ccm mmelitaftia ufumbuzi?? au ndo unazoziita siasa za kuvumiliana hizo??yana kuvumilia wezi na wahujumu nchi nayo imekuwa ni sifa ya chama chenu??? Kukijenga chama ni kutofukuza wezi/mafisadi na wanaoisaliti nchi??? What are you talking about we kijana!!!
 
YAMETIMIA!! Lazima Hamad aelewe Seif ni dikteta amesababisha watu kufukuzwa na wengine kuhama wenyewe kama ordha inavyoonesha hapa chini:

(a) Mhe. James Mapalala
(b) Mhe. Maiko Nyaluba
(c) Mhe. Slivesta Kasulumbai
(d) Mhe. Geoge Shambwe
(e) Mhe. Shaibu Akwilombwe
(f) Mhe. Richard Hiza Tambwe
(g) Mhe. Wilfred Lwakatare
(h) Mhe. Othman Dunga
(i) Mhe. Asha Ngende
(j) Mhe. Khamisi Katuga
(k) Mhe. Ashura Amazi
Kwa upande wa Zanzibar ni pamoja na
a.Naila Jilawi
b.Fatuma Magimbi
c.Juma Othuman
d.Salumu Msabaha
 
Lipumba ana taarifa lakini? Au akija 2015 kugombea urais ndo atapewa taarifa?
 
Them crazy, them crazy -We gonna chase those crazyBaldheads out of town;Chase those crazy baldheadsOut of our town.
 
Hakika Hamad Rashid namuhishimu sana. Lakin nafikiri tamaa ya uongozi nauchu wa madaraka umemponza. Nampa pole sana.

Kwa wale wazanzibari watamkumbuka Bi Naila majid Jidawi. yaliyomkuta na sasa yukoje?

Pole sana hamad
 
YAMETIMIA!! Lazima Hamad aelewe Seif ni dikteta amesababisha watu kufukuzwa na wengine kuhama wenyewe kama ordha inavyoonesha hapa chini:

(a) Mhe. James Mapalala
(b) Mhe. Maiko Nyaluba
(c) Mhe. Slivesta Kasulumbai
(d) Mhe. Geoge Shambwe
(e) Mhe. Shaibu Akwilombwe
(f) Mhe. Richard Hiza Tambwe
(g) Mhe. Wilfred Lwakatare
(h) Mhe. Othman Dunga
(i) Mhe. Asha Ngende
(j) Mhe. Khamisi Katuga
(k) Mhe. Ashura Amazi
Kwa upande wa Zanzibar ni pamoja na
a.Naila Jilawi
b.Fatuma Magimbi
c.Juma Othuman
d.Salumu Msabaha


Hao hapo juu ni waheshimiwa kivipi??
 
CUF haina hamasa kwa wananchi zaidi ya kutafuta mchawi...Maalim Seif Hamad kamezwa, hana kauli kwa umma, walishamkorofisha Prof Safari, na Lipumba ni kama yupo-hayupo, na hivyo kumuondoa tena Hamad Rashid, CUF inachungulia kwa Zirael mtoa roho...hawatarejea tena kuwa Imara katika siasaaminika za ku, ziwe za Bara au za Pemba...! Ogopa chama ambacho hakikubali kukosolewa, au kiongozi kama Maalim Seif kupingwa...!
CUF tunai-watch, mengine mengi yanakuja...
 
Yaani wewe ritz naona akili yako inaenda rivasi. Umeona Chadema ni dampo la taka taka zinazotoka magamba A, B, na C? Nashukuru watanzania wanazidi kuelewa chama makini cha siasa ni kipi.
 
Huu ni ukandamizaji wa demokrasia ndani ya vyama vyetu vya siasa, ina maana hairuhusiwi kutofautiana na mawzo na kiongozi wa chama katika kuimarisha na wala hutakiwi kugombea nafasi ya uongozi mpaka aliyepo kwenye nafasi hiyo afe!!!?? Tumeyaona NCCR, CHADEMA, CUF na hata CCM, Muulize Shibuda yaliyomkuta baada ya kutangaza atagombea nafasi ya Mkulu kupitia CCM
 
Kuna tetesi kwamba Lipumba naye ilikuwa awemo kwenye mkumbo huu hivyo AKASEPA KIAINA
 
Sefu Njia ya Umakamu wa Kwanza ya Urais 2015 nyeupeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Lipumba ana taarifa lakini? Au akija 2015 kugombea urais ndo atapewa taarifa?

kwani Mh Prof Lipumba yupo wapi kwa sasa? ama nchi zinazo jua kutumia vipaji tayari wameshamwona na kumpa ajira?

safi sana CUF Hivyo ndivyo mambo yanavyo takiwa,hakuna longolongo
 
this is very disappointing indeed; wananchi walianza kuwa na matumaini kwamba sasa vyama vya upinzani vilikuwa vimeanza kujijenga vizuri kiasi cha kuweza kutoa upinzani makini na kuibua hoja na sera mbadala zitakazosaidia kuharakisha maendeleo ya nchi yetu.. kumbe yote hii ilikuwa ni sawa na kufukuza upepo! if only we had known that matumbo ya wanasiasa ndio yanayochukua priority over everything else
 
Back
Top Bottom