Akaanzishe Chama cha upinzani Zenj, CUF wameolewa.
CCM / CUF hawatakubali kusajili chama ambacho kinaweza kuwa tishio kwa ustawi wao. Labda atafute chama chochote chenye usajili ajiunge nacho.
Akaanzishe Chama cha upinzani Zenj, CUF wameolewa.
Wamefukuzwa uanachama kwa automatyically na uongozi unaondokaHEbu fafanua, wamefukuzwa uongozi au uanachama?
Nikiwa ktk viwanja vya Marson Hotel hapa shangani nashuhudia taarifa rasmi ya kufukuzwa kwa viongozi waandamizi 4 wa cuf! HR kwishney!!
[/COLOR]]Mtataro yuko wapi siku hizi jamani ?
Mtataro yuko wapi siku hizi jamani ?
kivipi mkuu?Kama hii habari ni ya kweli huu unakuwa ni ukandamizaji mwingine wa demokrasia ndani ya vyama vya siasa.!!!