Hivi MS ni mwandishi wa habari??
hizo habari unazoleta na kuziandika zina typing error kibao wanaosoma habari zako wana roho ya Paka...
Du wasomi wengine Bana mnachekesha kweli.
Kukomenti kitu nawe hujakifahamu hicho si kichekesho?
Ni imani yangu kuwa MS ana akili zaidi ya wengi humu kwani wanachoandika ni kinyume na wanachodai. Eti crap, eti haeleweki, eti pumba!......... mwisho wa siku mtu anapoteza muda wake kuposti juu na anayosema MS.
Alisema hapo juu nami namkubalia ........ tatizo ni mregu alioko basi!