Hatimaye Ajira mpya walimu wenye shahada haya hapa

Poua njoon tuendeleze harakati,afisa elimu wetu anaitwa Said juma Mmaraba,kwa wale wa kigoma vijijn sehemu mzur kwa graduate ni NYARUBANDA HIGH SCHOOL TU,staff tupo vijana tu,ila madem hakuna staff, kama wapo basi wajitahidi waje,staff yetu haina majungu,tupo wabishi,angalizo husikubali kupangiwa Mwandiga,Bitale,Nguruka,Rugufu,njoo NYARUBANDA

Ntakomaa nije hapo mkuu ili twende sawa,vp wanatoa accomodation?
 
Unaona sasa tatizo la kutotumia majina yetu halisi katika JF, kumbe tuko kituo kimoja halafu hatufahamiani, nami niko Nyarubanda High School, nafundisha masomo ya...........Basi Jumapili twende sokoni Manyovu tutaongea zaidi, si unajua sasa hivi lami Kigoma - Manyovu?

nimeipenda hii! Unakuta mnashare meza moja.
 
Wishin al za best, waalimu wote mnaoanza kazi na maisha ya kujitegemea. Maisha kokote, wengine 2mejeruiwa na serikali ya JK
 
Mimi ni mwalimu tangu 95. Niko mkoa wa Kigoma. Nimejenga Bungaloo n I have everything I need including dstv.
Ninachomaanisha ni kuwa, ninawaomba walimu wenzangu tuondokane na kasumba ya kudharau mahali pa kuishi, ila iwe n changamoto ya ku-improve maisha yetu kwa kuyakabili mazingira. Why should we have cowardice inclination towards our life? Determind your life and God will approve it. Karibuni Kigoma, nchi ya maziwa na asali.!
 
Shukrani hope tutakutana hukohuko
 
nimependa mtazamo wako khs maisha. In life is not only about wht you earn bt also planing how to use your income. Watu wanalipwa mamilioni na allowances za kutosha bt they still contend for increaments. Katumieni mazingira yenu vizuri kujiongezea vipato
 
Link katika mtandao wa Wizara ya elimu ya AJIRA MPYA YA WALIMU WA SEKONDARI - SHAHADA 2011/12,kwa nini haifunguki...!Na jana ilikuwa hivihivi au ni ,leo tu?
 
Back
Top Bottom