Hatimaye Ajira mpya walimu wenye shahada haya hapa

Oya washikaji kila la kheri huko vijijini. Ila msisahau mtakuwa wasimamizi kula 2015, kuweni makini, tunahitaji serikali makini ya vijana makini. Akili kichwani!.

Usikonde mkuu moja ya somo langu kwa ntakaowafundisha Advance ni GS kwa hyo lazima nicreate viajana wangu wa kutosha sana hadi 2015,marupurupu mwiko maana sio Ethics zetu
 
ukacheki wapi wewe, mbona jamaa kakuwekea na majina hapo hapo bana. acha kuchanganyikiwa. au unasoma kichwa tu. kweli ulukuwa hoi, au change ya cafe ndo ilikuwa inaishia nini
 
Kumbe walimu tuko wengi ktk forum hii. Ila walikotupanga huko, twende na modem, wasiwasi na zenyewe zitakuwa hazishiki net. Tutawamic ktk jamii forum, naliaaaaaaaaaaaaa. Simu itasaidia ila umeme hakuna.:a s 465:
 
Kumbe walimu tuko wengi ktk forum hii. Ila walikotupanga huko, twende na modem, wasiwasi na zenyewe zitakuwa hazishiki net. Tutawamic ktk jamii forum, naliaaaaaaaaaaaaa. Simu itasaidia ila umeme hakuna.:a s 465:
 
huna lolote unatafuta demu tu wewe

Napokea masela tuuu... Huku mademu ukikohoa tu wanajipanga mstari.. Ni maamuzi tu.. By the way i was just tryn providing hand sio lazima.. Mi mwenyewe wakati naja kuripoti nlipokelewa na wadau
 
hivi inakuwaje kwa mwalimu
aliyeomba akiwa na Degree na
akapigwa chini?kuna vigezo gani
vya watu kupangiwa zaidi ya
kuwa na cheti kizuri!kuna mtu wangu hajaona jina lake

INATOKEAGA MTU KUKOSA FIRST BATCH... MWAMBIE AANDIKE BARUA AOMBE TENA WIZARANI ATAPANGIWA KITUO AWAMU YA PILI... INATOKEAGA SANA HII.. AANDIKE MAPEMA AITUME..kuna watu huwa hawaripoti vituoni 2nd batch ndio hupangiwa huko
 
tanzania ni yetu hata kama mtu kapangiwa huko kigoma au lindi sio shida ila shida ni mtu kujitambua kwanza kabla ya kutoa maamuzi magumu!
 
Hahahahahahaha wakuu hapa mmeniacha hoi kumbe mpo kituo kimoja hata kushitukiana? Kweli Jf watu wasiri kweli na ID zetu nikifika wakuu ntawajuza tuonane huko niko na washikaji zangu graduate kama 4 hivi tumepangiwa huko wote

Poua njoon tuendeleze harakati,afisa elimu wetu anaitwa Said juma Mmaraba,kwa wale wa kigoma vijijn sehemu mzur kwa graduate ni NYARUBANDA HIGH SCHOOL TU,staff tupo vijana tu,ila madem hakuna staff, kama wapo basi wajitahidi waje,staff yetu haina majungu,tupo wabishi,angalizo husikubali kupangiwa Mwandiga,Bitale,Nguruka,Rugufu,njoo NYARUBANDA
 
Kumbe walimu tuko wengi ktk forum hii. Ila walikotupanga huko, twende na modem, wasiwasi na zenyewe zitakuwa hazishiki net. Tutawamic ktk jamii forum, naliaaaaaaaaaaaaa. Simu itasaidia ila umeme hakuna.:a s 465:

2po wengi vibaya we huoni chuoni 2livyo wengi kupita kozi zingine bana.
 
Unaona sasa tatizo la kutotumia majina yetu halisi katika JF, kumbe tuko kituo kimoja halafu hatufahamiani, nami niko Nyarubanda High School, nafundisha masomo ya...........Basi Jumapili twende sokoni Manyovu tutaongea zaidi, si unajua sasa hivi lami Kigoma - Manyovu?

Sasa jembe wewe unafundisha o level au alevel,au nyarubanda shule ya msingi,hapa skull mi ndo natumia mitandao ya kijamii,au parttime mmoja kaja juzi,labda,nPm
 
Back
Top Bottom