Acha kukebehi maombiUtasikia oooh maombi yamesaidia.
Acha kukebehi maombiUtasikia oooh maombi yamesaidia.
Sasa hivi ni saa tisa usiku kwa saa za hapa Tanzania siku ya jumapili,huko Mozambique kuna mvua na radi za kufa mtu kama unavyoona katika picha za satellite hapo nilipoweka kaduara chekundu.Mtaskia mozambique wanalia soon
Aah hata sikupi pole! Rudi kwa wife kumenoga mkuu
Anatulinda yeye ni Mungu? Bado tu mnamuabudu kama Mungu mpaka leo?
Sasa hivi ni saa tisa usiku kwa saa za hapa Tanzania siku ya jumapili,huko Mozambique kuna mvua na radi za kufa mtu kama unavyoona katika picha za satellite hapo nilipoweka kaduara chekundu.
View attachment 1763107
HahahahaaMkuu ,,Baada ya kupokea updates mitandaoni kwamba JOBO kaongezeka kasi kuelekea pwani..
Na Mimi nikaongeza kasi kuelekea uelekeo alipo mwajuma.
Asubuhi hii ndy narejea home kwa mke wangu..
Hatimae JOBO kanipa faraja at last.
Mkuu ,,Baada ya kupokea updates mitandaoni kwamba JOBO kaongezeka kasi kuelekea pwani..
Na Mimi nikaongeza kasi kuelekea uelekeo alipo mwajuma.
Asubuhi hii ndy narejea home kwa mke wangu..
Hatimae JOBO kanipa faraja at last.
😂😂😂😂😂 ni mke gani umdanganye kizembe kizembe akuelewe?Duu!! Nilishapata sababu kutorudi nyumbani kwa mke wangu sababu ya kuogopa kimbunga JOBO.
Ndy basi tena mwajuma simpati tena..
Hii nchi itakuja kubadilika tu pale zitakapobadilishwa Sheria na akatokea kiongozi ambae ataweza kufilisi,kufunga maisha au kunyonga mafisadi was Aina zote kama sihivyo tutabakia hivi hivi milele na milele.Yaan Ni Basi tuu Tanzania Ni mahali pazuri Sana tena Sana ila tu kinachotugarimu Ni viongozi wetu.
Mtwara na mkoa wa pwani wamekiona cha mtema kuni pia!Jobo kaamua kuelekea msumbiji,View attachment 1763250
BOJODuu!! Nilishapata sababu kutorudi nyumbani kwa mke wangu sababu ya kuogopa kimbunga JOBO.
Ndy basi tena mwajuma simpati tena..
😀😀 mkuu una roho mbaya, kwahiyo kama ni hatari kweli unajiokoa wewe kama wewe, vipi familia? Maana kama ni hicho kimbunga jobo ilibidi uwe na familia mjue uelekeo ni wapi wote.Mkuu ,,Baada ya kupokea updates mitandaoni kwamba JOBO kaongezeka kasi kuelekea pwani..
Na Mimi nikaongeza kasi kuelekea uelekeo alipo mwajuma.
Asubuhi hii ndy narejea home kwa mke wangu..
Hatimae JOBO kanipa faraja at last.
Mkuu nilijuwa kabisa hakuna cha JUDO wala JOBO kuleta athari zozote.mkuu una roho mbaya, kwahiyo kama ni hatari kweli unajiokoa wewe kama wewe, vipi familia? Maana kama ni hicho kimbunga jobo ilibidi uwe na familia mjue uelekeo ni wapi wote.
Ulivorudi home umejiteteaje? Hicho kimbunga kilikua kwako tu? Mbona husbands wengine wamelala majumbani mwao?
Mkuu umenishinda tabia, na naombea waifu asifungue mlango kabisa ukome hapo nje😀😀😀Mkuu nilijuwa kabisa hakuna cha JUDO wala JOBO kuleta athari zozote.
Hizo ni mbinu za kibaharia ktk kuhalalisha jambo lake.
sasa tangu Jana nimezima simu sikuangalia update zozote kumbe JOBO alikwisha nguvu kabisa ,,na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
Hapa nipo getini na wife simu zote kazima.
Nagonga mlango saa nzima sasa bila majibu.
Nadhani JOBO kahamia ndani kwangu kwa sasa..
Dua zako mkuu..
Hii nchi itakuja kubadilika tu pale zitakapobadilishwa Sheria na akatokea kiongozi ambae ataweza kufilisi,kufunga maisha au kunyonga mafisadi was Aina zote kama sihivyo tutabakia hivi hivi milele na milele.
Hhhh-hhhhhhAu kimesimangwa na Wazaramo mpaka kimeghairi