Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

Mtaskia mozambique wanalia soon
Sasa hivi ni saa tisa usiku kwa saa za hapa Tanzania siku ya jumapili,huko Mozambique kuna mvua na radi za kufa mtu kama unavyoona katika picha za satellite hapo nilipoweka kaduara chekundu.
20210425034037.jpg
 
Mkuu ,,Baada ya kupokea updates mitandaoni kwamba JOBO kaongezeka kasi kuelekea pwani..

Na Mimi nikaongeza kasi kuelekea uelekeo alipo mwajuma.

Asubuhi hii ndy narejea home kwa mke wangu..

Hatimae JOBO kanipa faraja at last.
Hahahahaa
 
Although kuna radi moja matata sana imepiga nchi jirani ya Kenya majira ya saa 0430hrs usiku wa kuamkia leo jumapili.
 
Yaan Ni Basi tuu Tanzania Ni mahali pazuri Sana tena Sana ila tu kinachotugarimu Ni viongozi wetu.
Hii nchi itakuja kubadilika tu pale zitakapobadilishwa Sheria na akatokea kiongozi ambae ataweza kufilisi,kufunga maisha au kunyonga mafisadi was Aina zote kama sihivyo tutabakia hivi hivi milele na milele.
 
Mkuu ,,Baada ya kupokea updates mitandaoni kwamba JOBO kaongezeka kasi kuelekea pwani..

Na Mimi nikaongeza kasi kuelekea uelekeo alipo mwajuma.

Asubuhi hii ndy narejea home kwa mke wangu..

Hatimae JOBO kanipa faraja at last.
😀😀 mkuu una roho mbaya, kwahiyo kama ni hatari kweli unajiokoa wewe kama wewe, vipi familia? Maana kama ni hicho kimbunga jobo ilibidi uwe na familia mjue uelekeo ni wapi wote.
Ulivorudi home umejiteteaje? Hicho kimbunga kilikua kwako tu? Mbona husbands wengine wamelala majumbani mwao?😀
 
mkuu una roho mbaya, kwahiyo kama ni hatari kweli unajiokoa wewe kama wewe, vipi familia? Maana kama ni hicho kimbunga jobo ilibidi uwe na familia mjue uelekeo ni wapi wote.
Ulivorudi home umejiteteaje? Hicho kimbunga kilikua kwako tu? Mbona husbands wengine wamelala majumbani mwao?
Mkuu nilijuwa kabisa hakuna cha JUDO wala JOBO kuleta athari zozote.

Hizo ni mbinu za kibaharia ktk kuhalalisha jambo lake.

sasa tangu Jana nimezima simu sikuangalia update zozote kumbe JOBO alikwisha nguvu kabisa ,,na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

Hapa nipo getini na wife simu zote kazima.

Nagonga mlango saa nzima sasa bila majibu.
Nadhani JOBO kahamia ndani kwangu kwa sasa..

Dua zako mkuu..
 
Mkuu umenishinda tabia, na naombea waifu asifungue mlango kabisa ukome hapo nje😀😀😀
 
Back
Top Bottom