Mtaskia mozambique wanalia soonMtwara ndiyo wamekiona cha mtema kuni!Hiyo sehemu niliyoweka duara jekundu ni hali ya mvua kufikia sasa hivi jumamosi saa kumi na mbili jioni hii.Mtwara inapiga mvua na radi za kufa mtu.
View attachment 1762627
Mkuu ban yako ilishakwisha?Duu!! Nilishapata sababu ya kutorudi nyumbani kwa mke wangu sababu ya kuogopa kimbunga JOBO.
Duu!! Ndy basi tena mwajuma simpati tena..
Anawezaje kuicontrol wakati ni mwendo wa kunyukwa makonzi na akina Azory na ben8pengine kiongozi wa malaika ana ki control huko mbinguni!
Kimbunga kimechana mkeka aisee😀😀Duu!! Nilishapata sababu ya kutorudi nyumbani kwa mke wangu sababu ya kuogopa kimbunga JOBO.
Duu!! Ndy basi tena mwajuma simpati tena..
Hahahapengine kiongozi wa malaika ana ki control huko mbinguni!
Ngoja tuwape mkuu hakuna jinsiWameahidi wanatekeleza, mitano tena
Mungu kafanya yake tena🙏! Asante Mungu wetu Mwema 🙏!The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo.
Picha ya tatu ni ya leo Jumamosi saa nne asubuhi ambapo kimbunga kilipungua nguvu sana.Picha ya nne ni ya leo Jumamosi saa kumi na moja jioni hii ambapo unaweza kuona kuwa kimbunga kimeisha nguvu kabisa.
Katika hizo picha unaweza kuona pia siku na muda.
1
View attachment 1762579
2
3
View attachment 1762586
4
View attachment 1762591
Nasubiri kesho ipite salama ndio nitaamini maana hawa TMA hawachelewi kuchana mkekaNgoma imerudiView attachment 1762657
Duu!! Nishamkosa tena,,,ngoja nisubiri updates.Kimbunga kimechana mkeka aisee
Ilikwisha mkuu ,,,Mkuu ban yako ilishakwisha?
Aah hata sikupi pole! Rudi kwa wife kumenoga mkuu😀Duu!! Nishamkosa tena,,,ngoja nisubiri updates.
Anatulinda yeye ni Mungu? Bado tu mnamuabudu kama Mungu mpaka leo?Kama Corona na jobo kimetuogopa.
Jiwe anatulinda huko alipo
#ikikuumamezawembe
Ivi hili jina(JOBO) limetokana na nini (asili yake)?Hivi hiki kimbunga hatuwezi kweli kukibadili jina na kukiita Kimbunga JOB badala ya JOBO, kwa heshima ya Mheshimiwa Spika wetu wa Bunge Job Ndugai?