hatimae jamiiforums yaingia ndani ya east africa tv ting'a no 1

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Kile kinacho onekena kukubarika kwa jf, hatimae media mbalimbali za ndani na nje ya nchi zimekuwa zikitegemea na kutumia habari za mtandao namba moja wa kijamii tanzania jamii forums.

Leo katika kipindi cha hot mix kinachorushwa hewani na eatv wameweza kuzungumzia na kuonyesha ile habari iliyopo jamii photo ya mwanamke na mwanamme wakiwa wanacheza muziki muda wote bila kupumzika wala kubadilisha style.

Hii nmeipenda sana. Hongera sana mwanadada faizaaa. Mia
 
Back
Top Bottom