Maxence Melo LIVE ndani ya 'EATV Hot Mix' akiwakilisha JamiiForums

Neiwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
728
633
Leo jioni hii kuna kipindi kimerushwa 'Live' EATV kikiendeshwa na Adrian pamoja na Fatma. Kipindo hicho cha dakika 120 uhusisha segment mbali mbali kama habari iliopo moto moto, habari za uchumi, michezo, urembo n.k. Katika moja ya kipengele ambacho wameanza nacho ni kutambua kifo cha Marehemu David Mwangosi ambapo wametoa wasifu wa marehemu kwa ufupi ikihusiana na kazi, familia na maziko yatayofanyika Tukuyu Mbeya.

Katika section ya web review ndani ya kipindi cha EATV Hot Mix, wamemkaribisha moja wa Jamii Forums Founder Maxence Melo ambae yupo kujieleza sasa na kujibu maswali ya watangazaji.

Hongera kwa Maxence Melo na wana Jamii Forums, keep on keeping on.
 
Wakuu, Max yupo live ndani ya EATV sasa hivi. VIVA JF.
 
Leo jioni hii kuna kipindi kinarushwa 'Live' EATV kikiendeshwa na Adrian pamoja na Fatma. Kipindo hicho cha dakika 120 uhusisha segment mbali mbali kama habari iliopo moto moto, habari za uchumi, michezo, urembo n.k. Katika moja ya kipengele ambacho wameanza nacho ni kutambua kifo cha Marehemu David Mwangosi ambapo wametoa wasifu wa marehemu kwa ufupi ikihusiana na kazi, familia na maziko yatayofanyika Tukuyu Mbeya.

Katika ya web review wamemkaribisha moja wa Jamii Forums Founder Maxence Melo ambae yupo kujieleza sasa na kujibu maswali ya watangazaji.

Hongera kwa Maxence Melo na wana Jamii Forums, keep on keeping on.

Safi Maxence Melo,
Go on!! JF mtandao wa habari kamili zisizokuwa na chenga, jumba la breaking news!!! The home of great brains/thinkers!! Home of democracy, freedom of speech and expression!!!
 
hahaha! Kaulizwa swali la kizushi, akiambiwa kuwa jamii forums ni sehemu ya kuchafuana ajibu ndio ama hapana!

Inaelekea Adrian ni member hapa kakazana kutaja MMU, mara PM... Mkuu Adrian tafadhali verify ID yako hapa.
 
hahaha! Kaulizwa swali la kizushi, akiambiwa kuwa jamii forums ni sehemu ya kuchafuana ajibu ndio ama hapana!

Inaelekea Adrian ni member hapa kakazana kutaja MMU, mara PM... Mkuu Adrian tafadhali verify ID yako hapa.

anasema kala ban anaomb kufunguliwa.
 
...Naamini kabisa Maxence Melo hana roho mbaya kama ile thread ilivyoonyesha ya wasiokuwa wanene basi wana roho mbaya...anaonekana ni mtu poa sana.

Sio fisadi ndo maana hanenepi
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Max bana mahela yote haya hunenepi kwa nini mubyazi

Mkuu kuhudhumia hiki chombo cha JF chenye hits kibao na kumoderate post hapa si mchezo. Yaani huwezi kunenepa. Ila pia kwa mtu ambaye unatumia sana akili na unafanya kazi huwezi kunenepa, check Kagame super President in East Africa, overal, check Marais wote wa nchi zilizoendelea na mawaziri wakuu (Clinton, Bush, Obama, Cameroon, Gordon Brown, to name a few).

Ni Tanzania tu nchi ya lelemana unakuta miaskari kitambi kule hata vita ikitokea tu hapo nyumbani kwake atakufa presha la kihoro, haliwezi kimbia. Miwaziri inapumua hovyo tu kama imevimbiwa ndo maana vichwa vimelala!!! Kwa afya napenda sana alivyo Maxence Melo. Unene ni ugonjwa!!! Check Jaji Warioba alivyo smart and fit!!!
 
Daah nimefurahi kumfahamu huyu kijana ,hakiametoa na anaendekutoa mchango mkubwa kuikomboa na kuelimisha watanzania.hongera sana kijana.
 
The Boss, eti asemalo BAK ni kweli??

...Naamini kabisa Maxence Melo hana roho mbaya kama ile thread ilivyoonyesha ya wasiokuwa wanene basi wana roho mbaya...anaonekana ni mtu poa sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom