Hatimaye JamiiForums yaingia ndani ya East Africa tv ting'a no 1

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kile kinacho onekena kukubarika kwa JF, hatimae media mbalimbali za ndani na nje ya nchi zimekuwa zikitegemea na kutumia habari za mtandao namba moja wa kijamii tanzania JamiiForums.

Leo katika kipindi cha hot mix kinachorushwa hewani na EATV wameweza kuzungumzia na kuonyesha ile habari iliyopo Jamii Photos ya mwanamke na mwanamme wakiwa wanacheza muziki muda wote bila kupumzika wala kubadilisha style.

Hii nimeipenda sana. Hongera sana mwanadada Faizaa na Edwin Hilal.

Mia
 
Kile kinacho onekena kukubarika kwa jf, hatimae media mbalimbali za ndani na nje ya nchi zimekuwa zikitegemea na kutumia habari za mtandao namba moja wa kijamii tanzania jamii forums.
Leo katika kipindi cha hot mix kinachorushwa hewani na eatv wameweza kuzungumzia na kuonyesha ile habari iliyopo jamii photo ya mwanamke na mwanamme wakiwa wanacheza mziki mda wote bila kupumzika wala kubadilisha style.
Hii nmeipenda sana. Hongera sana mwanadada faizaaa na edwin hilal. Mia

Nakapenda hako kadadaaaa hila hayupo Hotmix huyu yupo 5select yupo na Tbway360!!! Au Alikuepo yule dada aliyeimba na Dully Raha ya Tunda(Hot Girls)
 
Wabunge wanaoikandia wazidi kubaki na viroho vyao vibaya na imani yao kuwa jf habari zao ni potofu,
 
figganigga hebu nielekeze hiyo picha inayoonyesha wakicheza bila kukoma ni meifuatilia jamii photo bila kujua heading yake ni ipi
 
Nakapenda hako kadadaaaa hila hayupo Hotmix huyu yupo 5select yupo na Tbway360!!! Au Alikuepo yule dada aliyeimba na Dully Raha ya Tunda(Hot Girls)

alikuwepo yule dada anayeongea kingeleza kwa kigugumizi yaani yeye haongei maneno mawili bila kusema sorry. ananiudhi tu anapo jifanya hajui kiswahili. mi nampa big up faizaaa. mia
 
figganigga hebu nielekeze hiyo picha inayoonyesha wakicheza bila kukoma ni meifuatilia jamii photo bila kujua heading yake ni ipi

poa ngoja niitafute, nikiipata ntaiweka hapa. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom