Hati ya utambuliho!

Emil Mwangwa

Senior Member
May 9, 2011
124
24
Ndugu wana JF kwa muda sasa nimekuwa nikiingia kama guest humu ndani na kujifunza mengi,nimeamua kubisha hodi,ili niweze kujifunza zaidi. Naomba kuwasilisha!
 
umefanya vema,
pia kwa kuwa umeonyesha kuipenda jf, onyesha upendo wako zaidi kwa kushiriki kuichangia jukwaa, linahitaji mchango wako wa kifedha.
Enjoy the fruits of the carpet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom