Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

Haters pia msisahau Mbeya ni jeshi la mtu mmoja ,hatuitegemei serikali kabisa maana hata mieadi mikubwa hailetwi mbeya kama ilivyo Arusha na Mwanza kila siku mara Pspf mara nssf mara national housing wote hao wanashindana kujengea mighorofa kwenye hiyo miji mbeya hawaioni kabisa.

Hata viongozi wetu kutoka huku hawana ile tabia ya kusukumia maendeleo mbeya kama walivyokuwa wale wa zamani waliojaa bima, nbc etc.

Inshort Mbeya imesahauliwa na serikali na inajengwa kwa nguvu ndogo ya wakulima hivyo kamwe haiwezi fanana na Arusha au Mwanza wenye madini na watalii pia favour za serikali.
Mbeya pia madini yapo nauli 4000 njoo chunya gold city

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Wambie waache ushirikinina biashara wanafanya mwenyewe tu bwana usipokua mchawi lazima ufunge duka sasa ndio nini ndomana matajili wa mbeya wote wamekulia pale pale wachawi balaa lazima uue mtu ndio ufungue sasa ndio nini?inasemekana kila baada ya nyumba moja ujue kuna mchawi
Mbeya pazuri ila mpunguze uchawi aisee mambo ya kukabana sio poa alafu nasikia mnakaba kwa kutumia makalio alafu mnaprnda kujitenga sana unakuta ma jitu yanaongea kinyakyusa ofisini ,kwenye daladala hadi barabarani huo ni ushamba
Nataka kujua unaizungumzia mbeya au sumbawanga??

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
upo ndani ya daladala unasikia mtu alieko siti ya mbele anapiga stori na mtu alieko siti ya nyuma tena kwakinyakyusa yaan utafikiri wako peke yao vile kwenye gari yaan nikiwa mbeya hii tabia huwa inaniboa sana, tofauti sana na moro au dom japo c majiji but ukiwa kwe usafiri wa umma unajihisi kama bado uko dsm watu ni wastaarabu wako busy na mambo yao,mbeya ni jiji ila wakazi wake wana mambo ya kizamani zamani
Tunadumisha utamaduni wewe zamani tulipeana taarifa kwa sauti ng'ambo moja hadi ng'ambo ingine sasa we unashangaa kwenye daladala moja.?!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Tunadumisha utamaduni wewe zamani tulipeana taarifa kwa sauti ng'ambo moja hadi ng'ambo ingine sasa we unashangaa kwenye daladala moja.?!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
dah utamadun wenu huo huwa unaniboa sana mkuu....hebu acheni hiuzo habari za zama za mawe watu tupo zama za makinikia
 
Nataka kujua unaizungumzia mbeya au sumbawanga??

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app

That's true man ain't going to lie to you believe or not, I have been in mbeya mbeya since 2011 till now for studies purposes. So i know them very well. Wanaume wako very royal ila wanawake sasa ndio shida. Yani kwanza hawajui harakati za kimaisha, 90% ya wakazi was mbeya wanahudhuria Kanisani ila matukio utakoma mwenyewe. Wakina mama was mbeya hawana customer care hawajui biashara wanamajibu ya kejeli kwa mteja. Wanaopiga hela mbeya ni wakinga na wachaga.
 
Sasa umekuja kwenye mstari by def. A city is a large and permanent human settlement.

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Kinacho ifanya mbeya kuwa jiji ni population tu
Social services bado za kiboya sana
 
That's true man ain't going to lie to you believe or not, I have been in mbeya mbeya since 2011 till now for studies purposes. So i know them very well. Wanaume wako very royal ila wanawake sasa ndio shida. Yani kwanza hawajui harakati za kimaisha, 90% ya wakazi was mbeya wanahudhuria Kanisani ila matukio utakoma mwenyewe. Wakina mama was mbeya hawana customer care hawajui biashara wanamajibu ya kejeli kwa mteja. Wanaopiga hela mbeya ni wakinga na wachaga.
Haaa iyo mbn kila sehem ipo we huon dar wanawqke ni umbea na vigodoro wanaume ni vibaka kila time kushinda beach alaf wanapenda kuish maisha yakishua hat km usawa unabana yuko lazi aeke simu bondi ili apate ela yakwenda beach lkn mbeya wengi wanapiga kaz

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom