Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,509
- 105,656
Kumbe katutukana kikwao et eehBro hapa umetukana waombe radhi aisee kabla sijawatafsiria
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kumbe katutukana kikwao et eehBro hapa umetukana waombe radhi aisee kabla sijawatafsiria
Usicho kiona usiamin labda munguMbeya naskia kila mji kunamcungaji
Mbeya pia madini yapo nauli 4000 njoo chunya gold cityHaters pia msisahau Mbeya ni jeshi la mtu mmoja ,hatuitegemei serikali kabisa maana hata mieadi mikubwa hailetwi mbeya kama ilivyo Arusha na Mwanza kila siku mara Pspf mara nssf mara national housing wote hao wanashindana kujengea mighorofa kwenye hiyo miji mbeya hawaioni kabisa.
Hata viongozi wetu kutoka huku hawana ile tabia ya kusukumia maendeleo mbeya kama walivyokuwa wale wa zamani waliojaa bima, nbc etc.
Inshort Mbeya imesahauliwa na serikali na inajengwa kwa nguvu ndogo ya wakulima hivyo kamwe haiwezi fanana na Arusha au Mwanza wenye madini na watalii pia favour za serikali.
Fafanua vizur ndevu za WAP??Mbeya kwa mademu wabovu, kila demu anafanana na baba yake 10% ya mademu wa mbeya wanandevu. Mademu wa mbeya hawajui kupenda.@HILO NDIO DUKUDUKU/POVU LANGU NDANI YA MBEYA CITY
Nataka kujua unaizungumzia mbeya au sumbawanga??Wambie waache ushirikinina biashara wanafanya mwenyewe tu bwana usipokua mchawi lazima ufunge duka sasa ndio nini ndomana matajili wa mbeya wote wamekulia pale pale wachawi balaa lazima uue mtu ndio ufungue sasa ndio nini?inasemekana kila baada ya nyumba moja ujue kuna mchawi
Mbeya pazuri ila mpunguze uchawi aisee mambo ya kukabana sio poa alafu nasikia mnakaba kwa kutumia makalio alafu mnaprnda kujitenga sana unakuta ma jitu yanaongea kinyakyusa ofisini ,kwenye daladala hadi barabarani huo ni ushamba
Tunadumisha utamaduni wewe zamani tulipeana taarifa kwa sauti ng'ambo moja hadi ng'ambo ingine sasa we unashangaa kwenye daladala moja.?!upo ndani ya daladala unasikia mtu alieko siti ya mbele anapiga stori na mtu alieko siti ya nyuma tena kwakinyakyusa yaan utafikiri wako peke yao vile kwenye gari yaan nikiwa mbeya hii tabia huwa inaniboa sana, tofauti sana na moro au dom japo c majiji but ukiwa kwe usafiri wa umma unajihisi kama bado uko dsm watu ni wastaarabu wako busy na mambo yao,mbeya ni jiji ila wakazi wake wana mambo ya kizamani zamani
Eti siyo jiji ni village..?! Unavijua vigezo vya mahala fulani kupewe hadhi ya jiji.?!Mbeya sio jiji ni kijiji kikubwa
not a city but a big village
dah utamadun wenu huo huwa unaniboa sana mkuu....hebu acheni hiuzo habari za zama za mawe watu tupo zama za makinikiaTunadumisha utamaduni wewe zamani tulipeana taarifa kwa sauti ng'ambo moja hadi ng'ambo ingine sasa we unashangaa kwenye daladala moja.?!
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Uwanja upi..?!Huo uwanja wenu wa mpira umechoka. Tengenezeni uwanja mwingine wa kisasa unaoendana na hadhi ya mji
Panandi panandi yaani pole pole mkuudah utamadun wenu huo huwa unaniboa sana mkuu....hebu acheni hiuzo habari za zama za mawe watu tupo zama za makinikia
Hilo ndio jiji sio wanatuwekea mambo ya ajabu ajabu Mara green city Mara nini wakati hamna cha maana
Muulize alichokipa uyole wakati wa kampeni zake. Hataki kuisikia mbeya hata kidogo.Jpm atafanya ziara mbeya lini maana hili jiji ni zaidi ya jipu
Nataka kujua unaizungumzia mbeya au sumbawanga??
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kwa upeo wako unajua hadhi ya jiji ni photo tu mweh.!Hilo ndio jiji sio wanatuwekea mambo ya ajabu ajabu Mara green city Mara nini wakati hamna cha maana
Haya tuambie hadhi ya jiji ni nini?Kwa upeo wako unajua hadhi ya jiji ni photo tu mweh.!
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Sasa umekuja kwenye mstari by def. A city is a large and permanent human settlement.Haya tuambie hadhi ya jiji ni nini?
Kinacho ifanya mbeya kuwa jiji ni population tuSasa umekuja kwenye mstari by def. A city is a large and permanent human settlement.
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
New 4rest mkuu kwa kishuaHali ya hewa ikoje?
Huduma za maji?
Masaki ya mbeya ni wapi?
Nampango wa kuja kufanya kazi hapo zonal hospital ya mbeya
Ah kumbe unajua mbeya ni jiji na moja ya sababu unaijua. Haya twende social services zipi twende na uhalisia mkuuKinacho ifanya mbeya kuwa jiji ni population tu
Social services bado za kiboya sana
Haaa iyo mbn kila sehem ipo we huon dar wanawqke ni umbea na vigodoro wanaume ni vibaka kila time kushinda beach alaf wanapenda kuish maisha yakishua hat km usawa unabana yuko lazi aeke simu bondi ili apate ela yakwenda beach lkn mbeya wengi wanapiga kazThat's true man ain't going to lie to you believe or not, I have been in mbeya mbeya since 2011 till now for studies purposes. So i know them very well. Wanaume wako very royal ila wanawake sasa ndio shida. Yani kwanza hawajui harakati za kimaisha, 90% ya wakazi was mbeya wanahudhuria Kanisani ila matukio utakoma mwenyewe. Wakina mama was mbeya hawana customer care hawajui biashara wanamajibu ya kejeli kwa mteja. Wanaopiga hela mbeya ni wakinga na wachaga.