ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 458
- 460
kuongea kikwenu c tatizo mkuu issue ni mtu wa siti ya mbele kupiga stori na wa siti ya nyuma tena kwa sauti kubwa yaan inakuwa kama mpo kilabuni vile ila mengineyo mko poa mkuu
Asante mkuu!
Mabadiliko huja taratibu, hata hapo tulipofikia ni parefu tu....mabadiliko mara nyingi huletwa na wageni.
Karibu sana GREEN CITY wakaribishe wengine waambie kuhusu fursa zilizopo. Tunahitaji changamoto kutoka kwenu ili kuleta mabadiliko chanya kwa mji wetu ambao ni lango kuu la kiuchumi kwa ukanda wa kusini magharibi.