Hatari za kuchelewa kuoa

Sijui elimu yako lakini kama ungekuwa umesoma ungeelewa suala la Ndoa sio ishu personal, ni ishu Socially, economically na political.

Kesho kutwa kwenye Sensa utaona kipengele cha Ndoa,
Ukiomba kazi lazima kwenye CV uweke Hali yako ya ndoa.

Ndoa ndio inaleta Family sijui Kama unajua hilo labda kama mwenzetu wewe ni Mnyama.

Unasema ndoa ni ishu ya Personal wakati serikali ndio inatoa vyeti vya ndoa😀😀

Faizafoxy anakuambia, huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Upo sahihi mkuu.Huko USA ,ndoa uangaliwa kwa Makin na serikali kwa kuwa ndoa utoa watoto watakaokuwa viongoz wa serikali.
 
Kuoa mapema inategemea unataka kuwa na watoto wangapi?
Unakuta mtu kaoa 22 anazaa hadi 40+ hiyo ni akili gani..
 
Nina miaka 32 nina watoto watatu. Wakwanza miaka tisa na wa mwisho miaka miwili. Lakini sina ndoa, unasemaje hapo?
 
Halafu ke akigongwa huko nje anakuja zalia kwako idadi ya kutosha tu!unajichekesha km zuzu! matunzo yote ya ulezi unatoa wewe!! hayo hayo!! Matoto kumbuka si yako, pale yakikua sasa ...

ikitokea siku unamkoromea Mama yao ki vyoyvyote vile hakuna rangi utaacha kuiona yatakutia vitasa barabara si vya Dunia hii!! na laana hawapati!!...hapo sasa

.utageuka kuwa mwalimu mzuri wa somo la kuto oa mapema!! ...ajili ya kupigiwa Nyapu hadharani!....na ukizidisha gubu la kumsema sana siku ukilewa ana kuua faster!...tena kwa sumu ya panya tu si anakupikia yeye???

Km mtoto si damu yako anakupiga tu bila mshtuko! kwa sababu ulishindwa kuishi na Mama yake kwa akili!! wkt mlishaambiwa mapema mfanye ivo!

Labda mleta mada angesema hivi Omba Mungu akupe mke mwema!!
Yote uliyoandika, hakuna la ukweli hata moja.
 
Kuoa ni option ya mtu. Sio kitu cha lazima. Haupungui chochote usipooa. Mjomba acha akili za kijijini huko mashambani. Kuoa ni personal sio societal.
Ana akili za kishamba Sana huyu motivation speaker wannabe
 
Ndoa ni zawadi toka kwa Mungu. Usimpangie lini akupe. Uki force kutokana na pressure za jamii utaichukia

Mke kukuheshimu inategemea na wewe mwenyewe unavyojiheshimu, unavyomuheshimu na unavyoyaheshimu maisha.

Nyingine ni stori za vijiweni.
 
Tatizo wabongo wanakimbilia kuzaa ili watoto waje wawatunze

Yaani mtoto anapewa mzigo wa kuja kulea mzazi ambae hakujipanga,hakua na plan.
Ndio maana Afrika umasikini hautaisha

Watu weupe huu ujinga hawana
Kabisa yaani , ni tambia mbovu za KiAfrica kuzaa kama bata too bad bila prior well organised plan ya kuhakikisha maisha Bora Kwa huyo mtoto . Ndio maana wanatuzalia mapanya road , a lost generation of degenerate paupers .
You should have a plan before stick out your dick or spread out your legs and open out your pussy .

Matokeo yake ni kuleta hata burden Kwa tax payers , pesa nyingi kwenda kwenye kugharamia social services kama elimu , Afya na mambo mengine pesa ambayo ingetumika hata kutoa relief na ruzuku kwenye programs kama za kilimo , mikopo ya BEI nafuu Kwa biashara na hata social safety nets kuleta maisha Bora Kwa wananchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom