Hataki uhusiano na mimi ila bado ananitafuta

Hapo kuna kidume mwenzia anamiliki na pia anavutiwa na wewe
Ila Kuna vitu anakuzidi pengine alianza naye na anajulikana na marafika au wazazi

Hivyo anakukwepa usimwaribie kwa jamaa.
Hawezi kukutambulisha kwani Kuna anaye julikana
Wewe amekuweka akiba (pending )likitokea la kutokea anaibukia kwako
Ndio maana hataki kukupoteza .

N:B Usisubutu kutumia nguvu nyingi kumvuta kwako kwani hatakuja mzima atabaki anawaza upande wa pili au mkipishana anajiona alikosea mtu sahihi ni aliyemwacha
Usisumbuke kutafuta gari Kama ushauri flani nilio uona labda Kama unapiga na kusepa
Mke anatakiwa akupende ulivyo ,siyo kwa mali au kitu ,siku kikiondoka au ukafilisika upendo utabaki wapi kwani alivutiwa na kitu.
Chati naye mwbie umevumilia Sana Mwaka na zaidi ukimtarajia yeye na huelewi msimamo wake basi unaomba akuweke wazi uangalie mwingine
Hapo lazima atafunguka au atamwarakisha jamaa ili Kama jamaa hayupo tayari aje kwako mazima.
Asante
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom