Haya maamuzi yangu ni sahihi au ni ukatili dhidi ya mwanamke

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu wana Jf nilipata binti aliyeonekana mwema machoni pangu ila alikua anapiga vizinga sana, katika minyanduano tofauti nilipiga kavu na sikuwa na hofu yeyote huku nikimjanza mbegu zangu ndani ya pochi manyoa yake

Baada ya kupita week mbili huyu binti alianza kunibadilikia gafla huku akionyesha dalili za wazi wazi za ujeuri, tamaa na kutaka kunitawala japo mimi kama mwanaume nimezipangua zote na kukaza sana kinamna

Ndugu zangu siku kadiri zinaenda alianza kubadilika haraka nilihisi ni mjamzito na bado na hisi hivyo ila hajapima kutokana na ujeuri wake kwa nini na sema ni mjamzito;-_

dalili alizo nazo mpaka sasa ngozi yake ya mwili imebadilika na kung'aa sana pamoja na viharara vya hapa na pale, tumbo alihisi linavuta katika kitovu na sasa anasikia tumbo lina mcheza na huku lina muuma sana , pia anadai haoni siku zake

Ndugu huyu binti kabadilika sana ,kawa mjeuri na majibu ya mkato sana, siku 2 zilizopita kasema tuachane nikamjibu mimi sikuachi ila kama unataka kuniacha sawa nenda maisha mema ila bado alikua kama hajiamini na maamuzi yake

Ndugu huyu binti (akili za kitoto ) ameaga vyema na akaniacha akafata njia zake mimi nikaamua nikae zangu kimnya japo alikua anaendelea kunitafuta huku akitishia mimba yangu akijua ipo ataitoa mimi napiga kimnya tuu

Cha kushangaza sana amejirudisha na anaomba nimpe uangalizi wa karibu na hapo bado sijajua kama kweli mimba ipo au laha maana sijapata kumpima nikajua ila anaonyesha hizo dalili hapo juu na bado kupima hataki kabisa .

Mimi kama mwanaume huyu binti kutokana na mienendo yake alivyosema basi ni hapo hapo nimeshikilia kabisa nasimpi matunzo tena nipo busy na maisha yangu.

Nahisi sana ni mjamzito kutokana na dalili zote na mienendo yake isiyoeleweka ya kubadilika badilika kama kinyonga ila hataki kupima mimba kabisa na mimi nisha move on .nimemwachia mambo yake.

Kwanini nipo hapa, ndugu huyu binti kweli nimemtelekeza kutokana na yeye alivyo amua ku-move on ila anasema ilikua ni hasira tuu na mabadiliko ya kimwili aliyo nayo maana hajielewi kama ni mjamzito kabisa na kupima hataki .

Sasa je, nisahihi kumtelekeza au nimemfanyia ukatili ilihali yeye anaonyesha kitojitambua au ni janja janja za wanawake .

Maan msimamo wangu upo pale pale acha aende cz haiwezekani hatakama ni mimba anipige mkwara na kutishia kutoa kama ipo na bado hataki kupima?
 
Alikuwa na mimba kabla hujakutana nae dalili za mimba haziwezi kuonekana siku 2 au 3 za mwanzo ukiona dalili zimeanza kuonekana ujue hiyo mimba Ina miezi mitatu nyuma je. Je miezi hiyo 3 nyuma ulikuwa nae. ...? Nadhani jibu kilikuwa sahihi kama mngeenda hospital hivyo ungeweza kupita umri wa mimba kama unaendana na siku uliyo mkojolea😭😭😭

Mkuu usirudie kudate na vitoto vidogo vinasumbua sana hapo unaweza ukatupa mtoto wako kimasikhala kabisa.​
 
Alikuwa na mimba kabla hujakutana nae dalili za mimba haziwezi kuonekana siku 2 au 3 za mwanzo ukiona dalili zimeanza kuonekana ujue hiyo mimba Ina miezi mitatu nyuma je. Je miezi hiyo 3 nyuma ulikuwa nae. ...? Nadhani jibu kilikuwa sahihi kama mngeenda hospital hivyo ungeweza kupita umri wa mimba kama unaendana na siku uliyo mkojolea

Mkuu usirudie kudate na vitoto vidogo vinasumbua sana hapo unaweza ukatupa mtoto wako kimasikhala kabisa.​
Ni kweli mkuu, ila alianza kubadikika baada ya week mbili kupita alianza kubadilika tabia polepole akaanza kubadilika rangi ya ngozi na kutokewa harara pamoja na kuexperience hizo dalili za tumbo kuuma, kitovu kuvuta, anadai anachoka, ujeuri kuzidi na sasa alitakiwa awe amesha ona siku zake il anasema hajaona, nikimuuliza za nyuma uliona anasema aliona mimi nilipita hapo katikati na nikihesabu ilimpitia siku ya 7 , 16 na nyingine ilikua siku yake ya 19 katika mzunguko wake wa hedhi sawa sawa na tarehe za nyuma za mzunguko wake wa mwisho alio niambia.
 
Unataka umtelekeze Binti wa watu wewe...

Dalili za mimba umezitaja na unazijua...
Sijamtelekeza ndugu, soma uzi upya yeye ndiye aliniacha akiwa katika mazingira hayo, sasa haeleweki yupo upande gani anabadilika hovyo hovyo kila saa
 
Kesi kama hizi wanaume hatuna muda nazo,mwanaume uwe mwanAume
Kwa hiyo mkuu niendelee kukaza pasi nakuonyesha huruma yeyote au kumpa sapoti yeyote , je, niendelee ku move on sawasawa na maneno yake na vitendo vyake?
 
Ndugu wana Jf nilipata binti aliyeonekana mwema machoni pangu ila alikua anapiga vizinga sana, katika minyanduano tofauti nilipiga kavu na sikuwa na hofu yeyote huku nikimjanza mbegu zangu ndani ya pochi manyoa yake

Baada ya kupita week mbili huyu binti alianza kunibadilikia gafla huku akionyesha dalili za wazi wazi za ujeuri, tamaa na kutaka kunitawala japo mimi kama mwanaume nimezipangua zote na kukaza sana kinamna

Ndugu zangu siku kadiri zinaenda alianza kubadilika haraka nilihisi ni mjamzito na bado na hisi hivyo ila hajapima kutokana na ujeuri wake kwa nini na sema ni mjamzito;-_

dalili alizo nazo mpaka sasa ngozi yake ya mwili imebadilika na kung'aa sana pamoja na viharara vya hapa na pale, tumbo alihisi linavuta katika kitovu na sasa anasikia tumbo lina mcheza na huku lina muuma sana , pia anadai haoni siku zake

Ndugu huyu binti kabadilika sana ,kawa mjeuri na majibu ya mkato sana, siku 2 zilizopita kasema tuachane nikamjibu mimi sikuachi ila kama unataka kuniacha sawa nenda maisha mema ila bado alikua kama hajiamini na maamuzi yake

Ndugu huyu binti (akili za kitoto ) ameaga vyema na akaniacha akafata njia zake mimi nikaamua nikae zangu kimnya japo alikua anaendelea kunitafuta huku akitishia mimba yangu akijua ipo ataitoa mimi napiga kimnya tuu

Cha kushangaza sana amejirudisha na anaomba nimpe uangalizi wa karibu na hapo bado sijajua kama kweli mimba ipo au laha maana sijapata kumpima nikajua ila anaonyesha hizo dalili hapo juu na bado kupima hataki kabisa .

Mimi kama mwanaume huyu binti kutokana na mienendo yake alivyosema basi ni hapo hapo nimeshikilia kabisa nasimpi matunzo tena nipo busy na maisha yangu.

Nahisi sana ni mjamzito kutokana na dalili zote na mienendo yake isiyoeleweka ya kubadilika badilika kama kinyonga ila hataki kupima mimba kabisa na mimi nisha move on .nimemwachia mambo yake.

Kwanini nipo hapa, ndugu huyu binti kweli nimemtelekeza kutokana na yeye alivyo amua ku-move on ila anasema ilikua ni hasira tuu na mabadiliko ya kimwili aliyo nayo maana hajielewi kama ni mjamzito kabisa na kupima hataki .

Sasa je, nisahihi kumtelekeza au nimemfanyia ukatili ilihali yeye anaonyesha kitojitambua au ni janja janja za wanawake .

Maan msimamo wangu upo pale pale acha aende cz haiwezekani hatakama ni mimba anipige mkwara na kutishia kutoa kama ipo na bado hataki kupima?
Huna msimamo wewe
 
Huna msimamo wewe
Wewe unataka nisimamie wapi mkuu, mpaka nakuja hapa nimesha mpuuza na nime move -on, kwakosa la yeye kuniacha na anaamua kurudi tena, shida ipo ananilaumu sana nime mtelekeza na matunzo simpi ,je nimpe matunzo au kila kitu nikatae ili hali na hisi ni mjamzito japo yeye ukimwambia tukapime nijue hataki ?
 
Back
Top Bottom