HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

Jamani, nina masikitiko m akubwa sana ndani ya moyo wangu.
Huu sasa ni zaidi ya mwezi wa nne, mama watoto amekuwa akinipa kwa masharti magumu sana kile chakula cha usiku.
Kisingizio chake kikubwa eti anaangalia tamthilia za STV1 za kwenye king'amuzi cha Star Times.
nimejaribu kumuelewesha, alicho nijibu nimekoma mwenyewe, eti mi ni mroho sana wa k.
Nifanyeje? Naombeni ushauri wenu , naamini nyie ni kisima cha busara.


Heeee pole ndo hasara ya kuoa watu ambao hawajapita unyagoni.....hiyo kitu haikataliwi etiiii hahahhaha....mpeleke kwa Bi shuu akafundwe.
 
mikela muache aanglie stv1 kwanza kishaa anzeni kwani hiyo ni hobi yake kumzuia ni kumnyika haki katika mali zenu kuzitumia wote
 
Dah hiyo ni hobby yake msubirie amalize kuangalia then ndo muanze coz hata akiacha kuangalia aje kuhudumia hamtoenjoy coz atafanya bora yaishe
 
Pumbavu zake kwani amefuata kuangalia tamthiliya hapo nyumbani kwako? sikia kama walivyosema baadhi ya wachingia mada huko juu mchunguze kwa makini, usimlazimshe kwa kuwa hatainjoi na wewe hutainjoi... hata hivyo nakupa pole!
 
Mkuu inaonesha fitina huzijui kabisa yani...fanyia zengwe king'amuzi ukiharibu kabisa yani halafu umuambie, 'usijali lets make our own tamthiliya'.
Ukiendekeza tamthiliya nyumbani kwenu kila kitu kitakuwa tamthiliya...shauri yako!

Sio ajiulize kwa nini bibie anaona bora tamthilia kuliko kuwa mikononi mwake?Labda anaona jamaa anambaka...
 
Yawezekana humpi buridani kama hizo tamthiliya. Jifunze kumpa raha kiasi ambacho akikuona tu anakimbilia kitandani mwenyewe. Yawezekana mwenzetu unamwita tu na kufakamia mzigo afu hiyo ushalala. Kwani hizo tamthiliya hazina love scene. Mfuate hapo hapo na bembeleza kama mtoto, mkune na kumcaress maeneo yote muhimu, mlambe shingo, masikio, kifua, mgongo, yaani popote unapoweza. Kwa kifupi anzisha tamthiliya yenu. Akiendelea kuangalia baada ya yote hayo huyo si mwanamke, rudisha kwao tafuta mwanamke. Mbona sisi tukismile na kukonyeza tu wife analegea hata kupika anaacha kwanza. Acha kutuaibisha bana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom