HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Jamani, nina masikitiko m akubwa sana ndani ya moyo wangu.
Huu sasa ni zaidi ya mwezi wa nne, mama watoto amekuwa akinipa kwa masharti magumu sana kile chakula cha usiku.
Kisingizio chake kikubwa eti anaangalia tamthilia za STV1 za kwenye king'amuzi cha Star Times.
nimejaribu kumuelewesha, alicho nijibu nimekoma mwenyewe, eti mi ni mroho sana wa k.
Nifanyeje? Naombeni ushauri wenu , naamini nyie ni kisima cha busara.
 
huyo amekwisha pata ki serenget boy, bila shaka alikuona wewe spidi yako ni ya bata kitandani, akaamua achukue mwenye spidi ya mwewe
 
wazazi walikuwa na akili sana, ndio maana walikuwa wakipendeza kuoa nyumbani, bila shaka kaka yetu huyo mkeo mlikutana naye kwenye daladala, sasa kaanza kufichua makucha yake taratibu
 
Hiyo ni trailler picha haijaanza,faster mtege kwa kujifanya una nyumba ndogo,mchana kweupeeeee unakula mzigo
 
sometimes hiyo hutokea, mmoja wa wenzi anakosa hamu na mwenzie.... Hebu chunguza nini tatizo? Je uchovu na anatumia tamthilia kama kisingizio?
Je umepunguza manjonjo? Isije kuwa mwenzio kachoshwa na midundo ile ile tu?
Zungumza nae kwa upendo, mueleze madhara ya kukunyima, atakusikiliza tu....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom