Hataki kuolewa na mimi mpaka nimle tigo!

Pape na wewe mbona hii avater haifanani ya katavi, hii inakonyeza ya katavi hiko tu nzima nzima haikonyezi wala haipepesi macho kwa hiyo zinatofauti.
sawa!

daaaaa eeeh baba mungu muumba mbingu na ardhi ,baba mfalme wa kila kitu duniani na mbinguni..kwa nini bahati hii huniangushii mie mwanao!!!!dahhh kitu kinaelekea kibla chenyewe!!! duuuh mbona mi natereza tu kama nanawaaa
kweli wewe ni kigogo

kiongozi ukipata contact nipasie na mimi...sie ndugu hatunyimani vitu vizuri ati.kizuri kula na nduguyo
hahahahaha....ni PM nikupe!
 
Mmmh I doubt the authenticity of this story.,inaonekana kama ishu fulani ya kusadikika.

I also have my doubts.
Usually girls who love being tiGOlized won't ask for it until you have done the normal Voda thing. Those two haven't even done it yet, & she's supposedly asking for the unnatural act!

Anyway, there was no need to ask, as some posters will say do it, & some will say don't, so at the end it's your own choice.
But remember that God, your very own Creator forbids it!
 
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*******************************************
Mimi ni kijana ambaye nimetokea kumpenda sana binti fulani aishiye Dar. Tumefahamiana kwa muda usiopungua miaka miwili sasa.

Tumekuwa ni marafiki wazuri kiasi cha kutembeleana mara kwa mara! Kwakuwa umri wangu nao umeenda, niliamua kumweleza 'rafiki' yangu huyo kwamba nimevutiwa naye na ningependa kuunganishwa naye tuwe mke na mume!

Binti aliniambia nimpe muda kwani suala la ndoa sio la kulifanyia uamuzi wa papara!

Siku ya siku alinipigia simu kwamba anaomba twende pamoja kupata chakula cha usiku (dinner).

Nilikubali na tulienda! Baada ya chakula aliniambia kwamba yuko teyari kunipa jibu la ombi la ndoa!

Basi nilipatwa na mshituko kwa maneno niliyoyasikia! Aliniambia kwamba 'yuko teyari kuolewa na mimi endapo tu nitakuwa teyari kum-mega tigo'...

Niliumia sana moyoni kwani binti huyu ninampenda sana. Nilimuuliza kwanini anataka 'hiyo kitu' lakini alisema hahitaji kujibu maswali kwani hayuko polisi!

Nilichukua uamuzi wa kumwambia kwamba mimi 'siko teyari' kufanya tendo hilo 'najisi'...

Kwahasira binti huyo aliinuka na kuondoka! Sikuweza kumkimbilia kwani ilibidi nilipie 'bill' kaunta na ndipo nilipotoka nnje sikumkuta!

Ni wiki 3 sasa zimepita hataki kuongea na mimi na hata nikimpigia simu hapokei! Kwakifupi nimechanganyikiwa!

Ndugu wanajamii, nifanyeje? Inawezekana huyu binti ananijaribu? Je, nikubali kum-mega tigo?

Mmh,pole sana bro,but i think you are doing right thing,so keep up,dont ever try that any more,she is not your type by the way,just leav her.
 
Back
Top Bottom