Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

wifi upo juu!afu baba mkwe wako alikuwa anataka afungue studio,nadhani single ya kwanza itakuwa yako.hongera,ila usiongee na wanaume sirini eeh.
Magulumangu jamani mbona wataka niumbua..</p>
<p>Nilichokwambia sirini hadharani wafichua....</p>
<p>Kila nililokueleza hivi sasa najutia....</p>
<p>Hakika nakwambia leo mwisho kunijua.,,
 
wifi upo juu!afu baba mkwe wako alikuwa anataka afungue studio,nadhani single ya kwanza itakuwa yako.hongera,ila usiongee na wanaume sirini eeh.
Hahhahhah wifi bwana sikujua hua wanafichua siri hawa watu...sasa nimejifunza!!!Studio naingia na hubby alafu ukipenda tukupe kiitikio....au angalau uwe meneja wetu!
 
nshakuambia kaa mbali na wanaume hawa wakware watakuingizia kitumbua mchanga,lol! sasa dingi akimiliki studio,braza si ndo anakuwa meneja na ww muimbaji?mnakuwa kama jide na mumewe.mie ntakua nauza tickets za live show

Msamaha na uwepo,mama nilishapitiwa,
Mwanzo wetu si pepo,kwake maombi mpendwa,
Haukuja kama upepo,hakika lifunuliwa,
Pole yake mama pole,kobe mbali husafiri,
Pole pole ya kazi gani wakati umeshaharibu...

Ahhhh mashairi naona yamegoma...ngoja nirefresh!
 
Nitaanza kuwataja,kwa majina na tabia,
Afrodenzi namtaja, nyamayao fatilia,
Nilham anakuja,wa rasheedi fatilia,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Judi wetu mwanaheri,asha d sitokuacha,
sweetlady yu mahiri,lizzy ye muarusha,
Brackberry stahiri,kukuacha tutaisha,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Mwanajami1 jamani, jukwaa liwakilishe,
Pearl Matty huerini,Kareen_hapuch miche,
Daughter wake zioni,Blaki woman turushe,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Sio kwamba nakuacha, hili ni duru la kwanza,
Mkao kula kukicha,ntakuja na wa kwanza,
Wewe mwana maisha, kwa jina lake ni minza,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Smile nimeitoa mpaka angle zinauma... Thank u Magulumangu..... huishi kunifurahisha... Keep it up ...
 
nshakuambia kaa mbali na wanaume hawa wakware watakuingizia kitumbua mchanga,lol! sasa dingi akimiliki studio,braza si ndo anakuwa meneja na ww muimbaji?mnakuwa kama jide na mumewe.mie ntakua nauza tickets za live show
Nimekoma wifi....haitatokea tena!!!Hhahahhhah yani raha tupu..,,ila kwenye video itabidi awe anashiriki ili scene za malavidavi afaidi mwenyewe mmiliki!!!Tutakavyotoa vitu vya ukweli hata ukumbi sidhani kama utatosha!!!
 
Mhh hapo kwa red au mie kiswahili kinachenga? Wifi wake wewe sasa ndo mpambe kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, si utuachie wenyewe tutatue tofauti zetu?
 
Magulumangu jamani mbona wataka niumbua..
Nilichokwambia sirini hadharani wafichua....
Kila nililokueleza hivi sasa najutia....
Hakika nakwambia leo mwisho kunijua.,,

Lizzy nimeipenda.. naona umeanza ku assimilate....
 
Nimekoma wifi....haitatokea tena!!!Hhahahhhah yani raha tupu..,,ila kwenye video itabidi awe anashiriki ili scene za malavidavi afaidi mwenyewe mmiliki!!!Tutakavyotoa vitu vya ukweli hata ukumbi sidhani kama utatosha!!!

Vipi hiyo single na mie nakaribishwa au nimejidelete tayari maana mawifi wakiingilia kati tu hata ndoa lazima ikatike kabisa.....lao moja tu kuharibu...
 
nshakuambia kaa mbali na wanaume hawa wakware watakuingizia kitumbua mchanga,lol! sasa dingi akimiliki studio,braza si ndo anakuwa meneja na ww muimbaji?mnakuwa kama jide na mumewe.mie ntakua nauza tickets za live show

K'asti upo juu... Ushari wako kitaa fulani unanifaa... Asante.
 
Smile nimeitoa mpaka angle zinauma... Thank u Magulumangu..... huishi kunifurahisha... Keep it up ...

wewe tena nilikuwa na mwendelezo lkn duh nimeshambuliwa acha....nimeona ngoja nihang tuuuu hapa
 
Hahahahah yani nataka nikuseme mpaka ukome....

Haya mi najua tu kwa vile wifi yako sijamuweka kaona wivu, kwetu tunasemaga....Koma kama gari la nkoma lilivyokoma kwenda nkoma....yaani hapo mtu harudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahhha, ila wewe ukichapa la kulia nakupa na la kushoto, halafu nakupa na shingo uing'ate kabisa lkn sikomi n'go....
 
Vipi hiyo single na mie nakaribishwa au nimejidelete tayari maana mawifi wakiingilia kati tu hata ndoa lazima ikatike kabisa.....lao moja tu kuharibu...
Hahahahah wifi huyu anajenga bwana habomoi!!!Mume wangu akikubali ntakushirikisha.....sauti ya ngapi kwanza wewe??
 
Haya mi najua tu kwa vile wifi yako sijamuweka kaona wivu, kwetu tunasemaga....Koma kama gari la nkoma lilivyokoma kwenda nkoma....yaani hapo mtu harudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hahahahahhha, ila wewe ukichapa la kulia nakupa na la kushoto, halafu nakupa na shingo uing'ate kabisa lkn sikomi n'go....
Sio koma na ukomae????
Hhahhahahh we una lako jambo.....yani hayo yote bado hutaki kuachia??
 
K'asti upo juu... Ushari wako kitaa fulani unanifaa... Asante.

King'asti vina hana hahahahaha ila shairi limetulia....keep her up...anamuonea wivu wifi yake Lizzy mwache tu....hajui mie Kifisadi furani?
 
Back
Top Bottom