Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Salamu zimefika,kwa watu wa south afrika.Magulumagi ni mtenzi,kutoka maeneo ya Mbezi
 
aiseeee,ilimi huu jamani duh
avatar20070_3.gif
 
Hilo ndo neno Lizzy.... Binti una focus wewee.... Nielekeze taratibu basi....

Nataka utumie penseli ili ukikosea ufute.....

Tuanze...kitu cha kwanza ni kujua nini unachotaka kusema mf. Kupenda na kutendwa...,then ufikirie jinsi ya kupanga ulichotaka kusema katika hali ambayo itavutia kusoma bila kusahau vina mwishoni....katikati sio lazima!

Haya anza mazoezi......,
 
Lizzy samahani dear, ngoja niangalie kwenye kampas ya mwanangu.. narudi sasa hivi....
 
Magulumangu jamani mbona wataka niumbua..
Nilichokwambia sirini hadharani wafichua....
Kila nililokueleza hivi sasa najutia....
Hakika nakwambia leo mwisho kunijua.,,

Big Up lizzy, umezingatia vina na mizani, hivi shairi nililokutungia lipo? Litunze mpaka tutakapoonana, you never know.
 
Kazi ngumu kweli kweli.... Nimejaribu hivi...

Kina baba wakitendwa,
wao daima kutopenda,
Kina mama wakitendwa,
wao hawana ya kutopenda,

Hahahhah ingekua ndo mtihani wa mwisho huu ungefeli kwasababu umefupisha sana mistari....ila kwakuanza Moi is proud!!!

Sasa naomba ufanye marekebisho kidogo!!!
 
Kazi ngumu kweli kweli.... Nimejaribu hivi...

Kina baba wakitendwa,
wao daima kutopenda,
Kina mama wakitendwa,
wao hawana ya kutopenda,

Nadhani Lizzy akiendelea kukupa tuition,
si muda mrefu utakuwa malenga mtarajiwa,
keep it up!!!!!!
 
Hahahhah ingekua ndo mtihani wa mwisho huu ungefeli kwasababu umefupisha sana mistari....ila kwakuanza Moi is proud!!!

Sasa naomba ufanye marekebisho kidogo!!!

Duh! Ngoja nijaribu angle nyingine... Nivumilie Lizzy....
 
Nadhani Lizzy akiendelea kukupa tuition,
si muda mrefu utakuwa malenga mtarajiwa,
keep it up!!!!!!

Hii post naamini inanifanya nikafanye wonders... we subiri tu utanisikia Radio JF si mda mrefu....
 
Back
Top Bottom