Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,

Hahahhah ingekua ndo mtihani wa mwisho huu ungefeli kwasababu umefupisha sana mistari....ila kwakuanza Moi is proud!!!

Sasa naomba ufanye marekebisho kidogo!!!

Kuna haja ya kupenda, hali najua naweza tendwa,
nitake mwenyewe kutendwa, hali mimi sitaki penda,
wote huja na nakupenda, hali nia kukutenda,
kuna haja ya kupenda, hali najua naweza tendwa,

Lizzy nikishindwa hapa naomba iwe home work...... Alafu hivi alama za viulizo zinaruhusiwa???
 
Hahahahaha yani kutoka kwenye grade F mpaka B-....kweli mwalimu kapata mwanafunzi!!!

Jamani makofi kwa bibie AD kwakua mwepesi wa kujifunza!
 
Hahahahaha yani kutoka kwenye grade F mpaka B-....kweli mwalimu kapata mwanafunzi!!!

Jamani makofi kwa bibie AD kwakua mwepesi wa kujifunza!

Asante Dear you are a great teacher.... nacheka cheka tu hapa.....

:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
 
Nataka utumie penseli ili ukikosea ufute.....

Tuanze...kitu cha kwanza ni kujua nini unachotaka kusema mf. Kupenda na kutendwa...,then ufikirie jinsi ya kupanga ulichotaka kusema katika hali ambayo itavutia kusoma bila kusahau vina mwishoni....katikati sio lazima!

Haya anza mazoezi......,

Lizzy tayari unamkosoa ndg yetu, kwanini msianzie mchangani? akikosea ni mkono tu kitu twende mbele
 
Big Up lizzy, umezingatia vina na mizani, hivi shairi nililokutungia lipo? Litunze mpaka tutakapoonana, you never know.

hahahahahahahahah nasikia lizzy ndo anafundisha vina kumbe wewe ndo mtungaji wake hahahahaha siri iko fichuka...
 
Hahahhah ingekua ndo mtihani wa mwisho huu ungefeli kwasababu umefupisha sana mistari....ila kwakuanza Moi is proud!!!

Sasa naomba ufanye marekebisho kidogo!!!

Walimu bwana mie simo, sasa atafutaje na kashamwaga wino sio Penseli? kazi ipo walimu
 
lizzy kaingizwa town tayari hahahaha

Bana angalia fidbak Mdada Lizzy kani Train mpaka karibia nafika nusu ya level yako kwa darasa moja... Fanya haraka sana kunipongeza.... Nimetunga bonge moja la shairi la mapenzi..... kwa raha zangu ....
 
Me like me ticha.... lol....Kwa hiyo ni wazi sasa kua nafaa katika hio bendi ulikua unazungumzia ???

Yani hapa ni one way to success....no return ticket and no refund!!Uko tayara my dear mwanafunzi??!
 
Back
Top Bottom