Van pierre
Member
- Mar 27, 2011
- 25
- 0
Wakubwa hivi hawa watu wanaoshindwa kutuma msg vizuri kwa kutumia simu zao mnawasomaje??!si waombe msaada kwa watu wanaojua wawaelekeze,tatizo la wabongo kujifanya wanajua kila kitu hata kama hawajui!!! Utakuta mtu anakutumia msg kweny simu hata kuweka 'space' anashindwa!!!yeye anayaunganisha tu maneno,basi kusoma inakuwa kazi kweli kweli! Wengine kwenye 'space' wanaweka nukta!!!wengine ful kuchanganya herufi kubwa na ndogo!!hasa akinaMAMA ndo wanachemka sana!si uulize!!!