Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
- Thread starter
- #21
mkuu ni kweli no easy na nba hakuna mweupe akupe mihela kama ile alafu aone una under perfom...si umeona walivyona ana perfom chini ya matarajio yao wakaanza kumpeleka d league....kwani hasheem mwaka wa ngapi yuko NBA? angalia wenzake wanavyo shine....walau si awe kama blake grifin lakini basi awe anacheza basi hata game....yeye kawa ni shabiki wa wenzake benchi na wakati mwingine hata benchi hapewi nafasi ya kukaa.......Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia ligi ya NBA ambayo Hasheem anacheza kama mtanzania pekee watakuwa wanajua ugumu wa ligi, tatizo letu wengi tunaponda tu pasipokujua ukweli halisi wa mambo, kumbukeni Hasheem bado ni bwa mdogo tu na anahitaji muda kuhimili vishindo vya ligi hiyo, msifikiri ni Kili RBA,NBA ni ligi ngumu hata kupata nafasi ya kucheza dk hizo alizocheza anaonyesha kwamba anaweza kwa hiyo mpeni muda bado ana nafasi ya kukua katika ligi hiyo na kujifunza zaidi.
All The Best Hasheem.
hasheem nafikiri anachukua maoni hata kama changamoto towards his career not callin us haters!......afanye mnazoezi kwa bidii....watz wanataka tumuone akishine bana siku moja aingie hata all star games.....