faloyce2001
Member
- Feb 18, 2010
- 24
- 11
Huyu dogo uwa anajifanya kasahau kuongea kiswahili.
Huyu dogo ni mshamba mwacheni arudi bongo. Akiongea kiswahili huwa ananiudhi sana. Anaongea as if amezaliwa marekani! Kuna Dogo anaitwa Alpha Kisusi ambaye kwa sasa yupo Canada ndiye atafika mbali.