Hasara za kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

KASHAMBURITA

JF-Expert Member
Mar 27, 2021
200
630
1. Hasira za mara kwa mara
Mtu ambaye hajafanya mapenzi kwa mda mrefu upatwa na hasira kwa uharaka hata katika mambo madogo hata yasiyo na maana yeye huyatilia maanani.

2. Kuumwa kichwa mara kwa mara

Kupatwa mahumivu ya kichwa mda mwingine hutokea hata kwa wale wanaofanya mapenzi mara kwa mara lakini tatzo hili huwa haliishi na ujirudia mara kwa mara kwa wale ambao hawajashiriki kufanya mapenzi mda mrefu.

3. Kupoteza umakini katika kazi
Pindi unapokaa mda mrefu pasipo kufanya tendo la ndoa uwezo wa kufanya kazi katika ufanisi unaotakiwa upoteza na unaweza kujikuta unashindwa kuvumbua vitu vipya yaani kukosa ubunifu zaidi(creativity) hivyo pindi unapopatwa na hali hii fikiria kwa umakini sababu inayoweza kuwa chanzo cha tatzo hilo.

4. Kupenda kurukia mambo ya watu wengine
Tabia hii kwa wengine huwa ni asiri yao yaani kufuatilia mambo yasiyo wahusu kwa lugha iliyozoeleka tunaita umbea lakini mbali na hivyo ukiwa ujafanya mapenzi mda mrefu unaweza kujikuta unajisikia kufuatilia mambo ya watu yasiyokuhusu na matokeo yake unakuwa na tabia ya umbea.

5. Kucheka bila sababu ya maana

Tatizo ili huwapata zaidi wasichana yaani binti uwa na tabia ya kuchekacheka ovyo au kuonekana hayupo sawa kimwili au kiakiri.

6. Kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa kirahisi

Ikitokea mtu ambaye hajafanya mapenzi kwa mda mrefu huwa kwenye hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa kirahisi maana ikitokea siku akapata nafasi ya kufanya tendo hilo hakutokuwa na maandalizi sahii yaani atakurupuka hivyo kutokana na kufanya tendo hilo pasipo na maandalizi kuna uwezekano mkubwa kupata maambukizi hii ni kutokana na msuguano mkali wakati wa kufanya tendo hilo.

7. Kukakamaa mgogo
Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara hasa kwa wanaume hutokea kwa sababu mbalimbali lakini kwa upande mwingine husabibishwa na kutokufanya tendo la ndoa kwa mda mrefu.

8. Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi kwa wanawake

9. Kutopata au kuchelewa kupata mtoto

Tunafahamu kuwa mtoto hupatikana kwa kujamiana baina ya mwanamke na mwanaume hivyo kadri unavyokaa muda mrefu pasipo kujamiana huwezi kupata mtoto na unaweza kujikuta unakuwa mzee na hujapata mtoto.

Ni hayo niliyokutayarishia kwa wakati huu kusudi la ndondoo hii sio kuhamasisha kuhusu ngono yakupasa kutambua kuna magonjwa hatari ya zinaa hivyo kuwa makini.
 
Back
Top Bottom