pulizie pafyumu kabla ya kutumia[/QU
ULIFANYA MAJARIBIO :ballchain:
Hata mi zilinishinda, kuna mchungaji alinishauri kuwa kutumia kondom ni dhambi kuliko uzinzi wenyewe!
shosti we hutumiii....hongeraa,[simbaliiiii simbaliiiii...........]nawashangaa wanaotumia kondom...
We bado unatumia ndom hadi leo? Mi nilishaacha kwanza zinanibana
pulizie pafyumu kabla ya kutumia[/QU
ULIFANYA MAJARIBIO :ballchain:
lol .......
Zipo zenye harufu mbali mbali....kwa mfano ndizi n.k wewe unasumbuliwa na harufu ipi
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe plse
Na kweli maana kutumia kundomu knataka watumiaji wawe na mashaka mashaka......... HEBU FIKIRI...... umeenda wodi ya wagonjwa wa ukimwi au majumbani unakutana na mwenye ule ukimwi wa enziu zile.....kakondaaaaaaaa na vyeti vinasema anao.....UTAKUBALI UKARAMBANE NAYE KWA KUTAUMIA KONDOMU....??? AU NUTATOKA BARUTI.......???Acha uzinzi, kuwa na mpenzi mmoja mnaeaminiana, mkapime VVU, the baada ya hapo ni nyama kwa nyama kwa kwenda mbereee!
nawashangaa wanaotumia kondom...
duu kaka Nchi Ngapi?
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe plse
ach uzinzi kijana na umrudie muumba wako maana siku za mwisho zii karibu umenisoma kaka