Harith Mwapachu afariki

Hata kama hakuhusu kifo ni kifo tu.angalia ndugu zake walivyo na huzuni.inauma.nampa pole tunu mwapachu dada wa juma.
 
bado hujanijibu nikakuelewa, yaani alikuwa nani katika jamii hadi ukafikia kuleta thread humu ndani? Mimi namfahamu bakari mwapachu yule aliyewahi kuwa naibu waziri kipindi kile usamala wa raia baade ikaletwa tena mambo ya ndani. Ndiyo huyo mwanae, vinginevyo mwaga cv ya marehemu badala ya kuishia kusema amekufa.

kimsingi thread haina maslahi kitaifa. Mtu amekufa over, tulion=baki tunasonga mbele tukisubiri siku zetu zifike nasi tufe.

All human being are mortal
 
Amina! Post ulioleta inaeleweka, kw yyt aliezaliwa Tz especialy mjini mjini hatokuuliza swl km vl toa cur-vitae za Marehem e.c.t hao wakuulizao nadhani ni wenzetu waliotoka interior wavumilie

ni kweli kabisa. ITV wameandika kua maziko yake yanafanyika j5. Tena kwenye habari za kitaifa.
 
Cheo si muhimu. Umuhimu ni kwamba alikuwa BINADAM, ndugu yetu, Muislam mwenzetu!

Innalilahi Wa Innalillahi Raaj'un!

check huyu nae anaanza kuingza mambo ya uisilamu humu!mbona mnajshtukia hvo wakuu?
 
Lol.... Umenichekesha sana!...haya RIP kijana wa mtaani kwa Shark...

We kwenu hakuna msiba uulete hapa?
Hata kama humjui vizuri we leta tu,
Hapa pashakua mahali pa kutangazia misiba hata ambayo muhusika hakua na umuhimu wowote kwa Taifa
 
Amina! Post ulioleta inaeleweka, kw yyt aliezaliwa Tz especialy mjini mjini hatokuuliza swl km vl toa cur-vitae za Marehem e.c.t hao wakuulizao nadhani ni wenzetu waliotoka interior wavumilie

We acha kelele sie tunahoji ninani,kwani we ukiwa unamfahamu na sie tutakuwa tuna mjua,R.I.P Harith
 
Harith Mwapachu..mtoto wa pili wa mzee mwapachu..huyu jamaa aliishi sana nje..akarudi bongo..alikua anakaa mikocheni B maeneo ya shule ya ushindi na alikuwa anakunywa sana pombe..hata kifo chake kimetokea ghafla tena akiwa karibu na bar..maeneo ya kwake,karibu na maghorofa ya bima....

Mbaya zaidi ..marehemua alikua na kashfa ya kuwa shoga...binafsi namfahamu kiasi...mara chache tushakaa naye maeneoa ya Safari carnival....kupata mbili tatu...

R.I.P Harith Mwapachu
 
RIP

Heading ingekuwa "Mtoto wa Mh Juma Mwapachu......." ingekuwa vema zaidi. Kwa jinsi ilivyokaa sasa hivi inachanganya kwa sababu inaweza kuchanganya na kaka/nduguye Juma Mwapachu ambaye anaitwa Harith Bakari Mwapachu.
 
Harith Mwapachu..mtoto wa pili wa mzee mwapachu..huyu jamaa aliishi sana nje..akarudi bongo..alikua anakaa mikocheni B maeneo ya shule ya ushindi na alikuwa anakunywa sana pombe..hata kifo chake kimetokea ghafla tena akiwa karibu na bar..maeneo ya kwake,karibu na maghorofa ya bima....

Mbaya zaidi ..marehemua alikua na kashfa ya kuwa shoga...binafsi namfahamu kiasi...mara chache tushakaa naye maeneoa ya Safari carnival....kupata mbili tatu...

R.I.P Harith Mwapachu

Maneno niliyoweka rangi nyekundu na rangi ya blue mbona haviendani
 
Huwa naelewa Harith Mwapachu ni kaka wa Juma Mwapachu (or vise versa). Hapa inanichanganya kidogo kujua ni mtoto ama ni kaka ndo kafariki
 
Back
Top Bottom