Happy father's day...

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
20,692
71,591
Happy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao

Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu. Kumbukumbu zangu za tangu utotoni nyingi nzuri ninazo za baba zaidi kama. Zile outings 😊Siku ya kwanza pia kupanda ndege nilikuwa na baba 🤣

Hospital bado nakumbuka alivyokuwa ananibeba hapa hivi shingoni 😊,nikichoma sindano za mataaako yeye ndio alikuwa ananiwekea zile barafu ili kupunguza maumivu

Sijawahi kupata tabu kiuchumi thanks to yeye. Nikikasirika anajua na anajali. Upendo wake ni ule sijawahi kuupata kwa yoyote hapa .uniani and am sooooooooooooo thankful to God for my baba

Kutoka moyoni huwa namuomba Mungu anichukue mimi kabla hajamchukua yeye manake i can't imagine me without baba. Zipo kumbukumbu mbaya pia manake yeye ndio kaninyoosha zaidi kwa viboko kuliko mama 😢,sema bado ni team baba all the way ✌✌

Kina baba,nyie ni the best...hata kama juhudi zenu hazionekani kwa baadhi,jueni tupo tunaowakubali kinyamaaaaa

Uzi tayari
 
Mkuu me nashangaa kwann wasanii kila uchwao wanaimba nan Kama mama nani kama mama wakiimba kuhusu baba bas wamemponda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom