Happy Birthday Young Master

Hapo ndo kosa kubwa ulilofanya.
BAGAH kapotea na keki na haonekani mpaka muda huu.
cacico nimempita pale TSN Supermarket anamfanyia shopping Asprin,na anaonyesha hana dalili ya kuja shereheni.
Asprin nimesikia kaenda na nyumba ndogo yake Fatuma wa Buguruni kule Pugu kuvuna Mihogo.
CUTE nilimuona mida flani ya mchana hapa Steers Makumbusho analamba ice cream na wenzie labda nikamcheki tena.
Bishanga mara ya mwisho nimepita nje ya nyumba yao mida ya saa 5 asbh nimelikuta Fuso la Bia limepaki,nikajua linakuja huku.
Mungu wangu tushaliwa.
Mkewe The secretary simu yake inaita tangu saa 8 haipokelewi,au ndo washalewa cjui.
sweetlady hebu tafuta walinzi twende.
Sherehe imeanza.
Na raha ya sherehe ni 'Mma'

Hahahaha lol Madame B you made my day .....Nimecheka sana mpendwa daaah!
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Young Master
Mi sina mengi ila pokea hongera na mapendo toka moyoni. Uzidi kukua na Mungu akujalie miaka mingi pia uitumie vyema.
PS
Uniwekee kipande changu cha keki
 
Last edited by a moderator:
Haya kaka Hongera kwa kuzaliwa...............
Najkuonea wivu kweli unavyopendwa humu JF....................LOL
 
my dear Young_Master! happy birthday, may our ALMIGHTY GOD GRANT U MANY MORE YEARS TO BLOW OUT A 1000 CANDLES!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom