wow!! nipo kati kati ya traffic jam hapa Kilwa Rd, sina namna nyingine ya kuniwezesha kuwahi donge la keki hapo zaidi ya kuachia dala dala na kuanza kula mdogo mdogo lakini kwa kasi ya ajabu..!!! while still on my way, let me take dis opportunity to wish u happy birthday!! May god and ur personal will, extend ur years by 5 times while in strong health!! Let the grandson, of my grand son whom even his father is not yet born, meet u here in JF some decades if not century later!
HAPPY BIRTHDAY YOUNG MASTER.....!
belated happy birthday wish all success and wisdom in your life time
A Birthday is just the first day of another 365- days journey around the sun, so far enjoy the trip !
May the best of your past be the worst of your future.
Judgement .
HBD man...
niko sekta nyeti...CAKE hii ndio shughuli yenyewe...
ukinchezea utaambulia toothpick @ALL
happy birthday kijana
Hiyo red naona nitapata udhuru sitafika
Ushanchefua........niambie mchango sh ngapi nitoe kabisa lakini sharti ..............
Happy Birthday Young Master
Mi sina mengi ila pokea hongera na mapendo toka moyoni. Uzidi kukua na Mungu akujalie miaka mingi pia uitumie vyema.
PS
Uniwekee kipande changu cha keki
We jishaue tu...
Haya kaka Hongera kwa kuzaliwa...............
Najkuonea wivu kweli unavyopendwa humu JF....................LOL
..hbd YM........
Ndo mana yake.
Na utajibeba mwaka huu.
Watu na bahati zetu.
Watu tuna nyota ya Mapacha,tukifatana tunafanana.
Sijui wewe mwenye nyota ya Punda kila siku Mateke.
my dear Young_Master! happy birthday, may our ALMIGHTY GOD GRANT U MANY MORE YEARS TO BLOW OUT A 1000 CANDLES!
jamani hongera sana shemeji yangu