Happy Birthday Young Master

Happy birthday Young_master. Wakuache miaka mia zaidi.

mwaJ, hebu nuangalizie ile kanzu yangu miye tukale ubwabwa. Lol
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Young_master. Wakuache miaka mia zaidi.

mwaJ, hebu nuangalizie ile kanzu yangu miye tukale ubwabwa. Lol

Samahani Kaizer niliogopa kukuambia, juzi nilipokuwa napiga nguo pasi niliiunguza sana hiyo kanzu maana nilikuwa na mawazo nikaisahau pasi juu ya nguo. Labda ungechagua tu nguo nyingine maana mie sijui mambo ya kukupangia nguo ya kuvaa kama alivyokuzoeza AshaDii.

Duh! Nisije nikasahau, hepi bilated wesdei Young Master :A S-baby:
:baby::baby::party::party::clap2:
 
Ha ha haaaa!!! Ndio umenitukana au?
 
samahani kwa kuchelewa lakini
default.jpg
 
loooo wifi uroho umekuzidi ulibugia sana......anasubiri abadilishwe pampasi na mwaJ

Khaaa......huyu mwaJ nae amezidi kudandia kazi siyo yake .....yeye aliambiwa kazi yake kupika uji wa mtoto manake Kongosho hajulikani alipo.....hiyo ya pampasi alipewa Catherine!

Wifi futa au kanusha kauli yako kuwa mie mroho......fanya upesi kabla sijaomba mwongozo lol!:A S cry:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom