Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Happy birthday Roulette......Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo!
Kaizer nimekupata ila kutokana na sababu zisizozuilika ile kamati ya vinywaji itabidi ivunjwe tu manake jana imefanya ndivyo sivyo.... PakaJimmy atabakia afu ataeua wengine wa kumsaidia........ platozoom jana katoroka na chupa za watu hivyo popote alipo namuomba azirudishe....... Asprin alilewa sana mpaka akasahau kuwa jana ilikuwa zamu ya kulala kwa cacico akalala kwa BADILI TABIA......hii imeleta ugomvi sana........ @Prteta nae ilivyofika jioni aliamua kujisevia badala ya kusevu kwa wageni waalikwa yaani kama sio TANMO angelala ukumbini jana......

charminglady asipangiwe kazi yoyote manake hata jana hakuweza kushiriki vema amebanwa kidogo...... Remmy alijitahidi sana kuhakikisha mtoto Erickb52 amekuwa mwenye furaha hivyo kwa heshima na taadhima naomba umpe kazi ya kumbeba mtoto Roulette manake yuko vizuri kwenye hiyo idara!....... Catherine asihudhurie kwenye hii sherehe manake jana ametoroka na keki ya b52..... Bishanga jana ametuangusha kwakweli manake alilinda mlango huku amelewa so kuna baadhi ya watu wasio na utu waliweza kuzamia na kuiba baadhi ya vitu kama glass, mapambo nk...... zaidi ya hapo mie sina neno niwatakie tu sherehe njema!
Popote utakapomwona cacico mwambie namtaka razi. Namwomba msamaha. Nimemletea zawadi ya high heels toka Rome.
confortables-shoes.jpg
 
Last edited by a moderator:
Popote utakapomwona cacico mwambie namtaka razi. Namwomba msamaha. Nimemletea zawadi ya high heels toka Rome.
confortables-shoes.jpg
MUUMBA WANGU JUU aninusuru na hii makitu ya huyu mume wallah! lol! thanx hubby, sina budi kukusamehe na kupokea zawadi. haya leo tena kwa Roulette usijitoe akili ukalala kwingine! natoa warning mapemaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hapy birthday roulette,hakika ukazidi kukata age,ni furaha kwetu kuwa mwenzetu unatimiza umri wa miaka kadhaa,twamshukuru mwenyeyi mungu anaetupigania na kuendelea kutupa nafasi ya kuwa pamoja,maisha marefu na yenye amani nakutakia,upendo na furaha vitawale maisha yako.kila jema nakutakia kiongozi.siku yako hii muhimu iwe na furaha.hapy birthday roulette!
 
Mamaako analia juu yako kila siku mwanangu wa kufikia...anasema kila akikukumbuka maziwa yanavimba na kumuuma!
Sijui ni kwaajili ya huyo kibabu uliye naye...hebu nambie ukweli kabisa mwanangu, anakutesa au ni yale mambo ya kawaida ya nanihii!...hata kama anazidisha niambie tu, usifiche kitu, maana kuna kipimo!...We ni mwangu tu, lazima nikutetee kwa lolote!
nipo baba navumilia! mwanaume huyu sijapata kuona! amesema nikithubutu tu kumkimbia mabwepande ndio utakwenda kuniokota! so inabidi nivumilie!
 
MUUMBA WANGU JUU aninusuru na hii makitu ya huyu mume wallah! lol! thanx hubby, sina budi kukusamehe na kupokea zawadi. haya leo tena kwa Roulette usijitoe akili ukalala kwingine! natoa warning mapemaaaaaaa!

Shem cacico hakujitoa, kabisa Asprin hakujitoa akili najua tu zilitolewa na mtu mwingine na unamfahamu vizuri...think shem...think....
 
Last edited by a moderator:
Popote utakapomwona cacico mwambie namtaka razi. Namwomba msamaha. Nimemletea zawadi ya high heels toka Rome.
confortables-shoes.jpg

Paw and cacico like this.


Wakulu na wakwenga.... Posti yangu kulamba like ya Paw inathibitisha nimekomaa kichitchat kama Mugabe, hii inaweka kipingamizi cha mie kulambwa BAN kwa miaka miwili ijayo hata nikivunja kanuni na sheria za nchi na JF. Nimeiweka hapa kama ushahidi asije akabadili mawazo akainyofoa.

MODS wote popote mlipo, please note accordingly.
cacico, BADILI TABIA na Yummy my dear wives chini ya usimamizi wa Kongosho, hebu mkuje pande hii leo tufanye fivesome.
 
Last edited by a moderator:
eeeeeeeeeeeeeh????????
kamati ya vinywaji imevunjwa?
naandamana,
niliandaa juisi za kutosha...
haiwezekani





hommie Asprin, mwongozo wangu ni kwamba wewe na wake zako Yummy, cacico, BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho, tafadhal muwe na subra wakati wa hii sherehe , msije mkamtisha mtoto Roulette na mambo yenu ya kikubwa.....hasa BADILI TABIA.

Na hivi kamati ya vinywaji imevunjwa sijui tukuweke kwen picha? eti sweetlady unaonaje akawa fotografa?
 
Happy birthday sweet mod! Mungu akuzawadie maisha marefu.
Ubarikiwe sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Aisee Baba V hapa kamati imevunjwa na sweetlady kupisha uchunguzi, atataja mpya soon ila vinywaji vipo sana na paka jimmy amehakikisha Konyagi katoni kumi hazipungui!

Wakati huu wa uchunguzi mimi najitolea kuokoa jahazi kwenye hiyo kamati. Nina uhakika hamta-regret, try me! Lol

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom