Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Wakati huu wa uchunguzi mimi najitolea kuokoa jahazi kwenye hiyo kamati. Nina uhakika hamta-regret, try me! Lol

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Good kumbe wapenda saana kujitolea Fixed Point. habari ya siku lakini mzima? sweetlady please hebu muweke kwen kamato ya vinywaji huyu?
 
Last edited by a moderator:
Good kumbe wapenda saana kujitolea Fixed Point. habari ya siku lakini mzima? sweetlady please hebu muweke kwen kamato ya vinywaji huyu?

Hofu kwako.
Kujitolea ni kuzuri sana na kunafanya mtu ufanye kazi kwa moyo sababu hujalazimishwa. Wait and see

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kaizer wapi maandalizi ya sherehe?

Happy birthday Roulette..............................:baby::baby::baby::baby::baby::baby:

BTW.............. Kaizer Kuna vitu gani vizuri vizuri vitakuwepo kwnenye hii party?

wakulu apo juu nimewasoma saaana Erickb52 na platozoom,

kifupi mshereheshaji mkuu Asprin na sweetlady mwenza wake wameshadefine some of the issues,

Upande wa totoz Asprin atahakikisha wapo wa ukweli,,,, ila vinywaji kamati imevunjwa kwa muda huu yupo Fixed Point....kwa wale walioshindikana kama wewe platozoom na Erickb52 itabidi muanzie kwa 'mama muuza"

maakuli naona yatakuwa poa chini ya BADILI TABIA na princess enny,

baadaye tutaingia maisha club kujiachia, hilo wala halina shaka.
 
Hahahaaaa hivi mama muuza ataweza kutusaidia kwa sasa?
Lol Kaizer jana platozoom alinambia kuwa Bishanga amegundua chimbo jipya la mama muuza kona fulani so kama unaweza tutafutie atupeleke chap
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Paw and cacico like this.

Wakulu na wakwenga.... Posti yangu kulamba like ya Paw inathibitisha nimekomaa kichitchat kama Mugabe, hii inaweka kipingamizi cha mie kulambwa BAN kwa miaka miwili ijayo hata nikivunja kanuni na sheria za nchi na JF. Nimeiweka hapa kama ushahidi asije akabadili mawazo akainyofoa.

MODS wote popote mlipo, please note accordingly.
cacico, BADILI TABIA na Yummy my dear wives chini ya usimamizi wa Kongosho, hebu mkuje pande hii leo tufanye fivesome.
leo naomba kucheza kama mmaliziaji! mtanangi wenyewe wacheze wenyewe!
 
Hahahaaaa hivi mama muuza ataweza kutusaidia kwa sasa?
Lol Kaizer jana platozoom alinambia kuwa Bishanga amegundua chimbo jipya la mama muuza kona fulani so kama unaweza tutafutie atupeleke chap

liwalo na liwe ila shemeji yangu cacico msije mkamfundisha hayo mambo ya kwa mama muuza.....msilewe sana sasa hadi wawastukie ala!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom