<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Happy Birthday Aspirin
how old are you now
happy birthday dear kitablet
happy birthday to you
 
Anti si unaona mwenyewe? Babu ananitaka mimi ndio nikae nae... Ila kwa vile mimi nimtiifu ngoja nikatoe zile sahani, nizisuuze na kuzipanguza vizuuuuuri alafu nirudi kwa babu anikatie hadithi.
Bado tuna time, si wageni wanakuja kupata chakula cha mchana?

Good gal my niece... Endelea na obedience yako hivo hivo.... Is Klorokwin protecting you kama alivoagizwa na Uncle?

Afu nani atafanya usafi toilet? Patia yeye hiyo kazi, asaidiwe na Lizzy.

Ewaaah! Hio kazi itamfaa kabisa.... Ila itabidi umwambie mwenyewe, mimi ataona nimemuonea....

kwanza kabisa naomba uwaeleze waalikwa waelewe kuwa....wimbo wa kuingilia ukumbini ni kiduku....hivyo basi ambae hatacheza kiduku atatolewa nje....zaidi ya hapo yanayofuatia ni sapraiz....

Dah! Preta mbona maandalizi yatachelewa! Wasio jua wataaacha responsibilities zao na kujifunza kiduku! lol
 
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Asprin!
Mungu akujalie na kukuzidishia....
Asha, mi nldhani hii party mnaitupa kwa surprise kwa huyu babu? Sasa naona anaingilia shughuli za kamati yako.... Imekuwaje?

JG Babu yenu ana kihere here huyu, yaaani kweli tumemuuguza kwa taabu! Tumejaribu kuweka siri lakini ikavuja, nahisi Husny ndio atakua alimdokeza maana mtoto hana kifua yule. lol

Babu yetu mjanja huyu, hata AshaDii hamuwezi! alishtuka kabla yetu sote na kujitakia mwenyewe happy birthday. lol

Mwali dawa yake ndogo na naifahamu.... Sema tu namuonea huruma! lol
 
Afadhali! Haya yameisha ngoja nimpoze huyu Babu kwa kumkata kucha!

Happy Birthday ODM. Leo nakupumzisha Drip.

Da AshaDii, shemeji yake ODM, usisahau kumsafishia miwani yake vumbi
 
Babu mimi sikuwish birthday yako mpaka AshaDii atambue uwepo wangu kama mjukuu mtiifu, mkongwe na mkuu! Yaani hajanitaja wala kunipangia kazi utafikiri siishi hapa nyumbani!!

Wallah leo patachimbika, kama sijawanywesha yale madrip yako sijui...ammah!

We jidaishe tu tutaona mtapitia wapi wakati funguo za geti nnazo mimi!

MJ1 Punguza ukali basi jamani..... Naomba Msamaha! Babu huku homa imepanda baada ya wewe kuaga kwa hasira na yeye kunipigia simu yenye mikwara ilonitoa nilipo na kurudi hapa.... Soma basi pale juu.... Nisamehe Dear (Niombee na kwa ODM)
 
Wifi, tuko busy na shopping, tumekubaliana kufanya overhaul. Mwaka mpya with new king size bed, orthopedic matress manake babu anazeeka sasa, new curtains na new linens. Dressing table ya mama matesha utamletea plz...
Ntarudi kwa salamu za besdei

Wifi wewe na SweetLady hamjaelemewa kweli? Nasikia leo dereva wenu ni kaka Paw.... Umewezaje kumbana hali Kaka Cookie ndio ilikua awapeleke? Wengine wajizungusha tu hawana kazi.... naona mchukue FL1 (ODM kasema jikoni hafani ni mdokozi)lol
 
Golden mpoleee ni mtoto mzuri na mpoleee
Golden mpoleee anataka pia awe mjukuu wa babu
Golden mpoleee anaweza mikiki yooote ya ujukuu
Golden mpoleee atakapokubaliwa ujukuu hapo ndio
Golden mpoleee atatoa salam za birthdy.

Golden Mpolee, aisee what a home coming indeed! lol.... Naona umejibadilisha hopefully for the better dear.... Jua kua baba aumwa tu! Babu kamwe hakataagi wajukuu, the lot the better, hivo wewe m-wish tu hio Birthday, Huwezi jua maybe he will feel better na kupona kabisa!
 
Asante nakwenda kung'oa saa 3

Wifi pole saana dear.... hakikisha waenda kwa a good Dentist, watu wengi saana hupata matatizo kama hawajatibiwa vyema. Ugua pole wifi yangu, keki naona ndo sasa utakula kwa macho....
 
Mi najipangia kazi ya kusimamia keki
Naona MJ1 yeye kaanzisha zogo,
mie aku hapa kwa babu najipangia kazi nayotaka.
Ntakuwa mlinzi wa vinywaji pia, sijui nimwalike na rafiki angu Fidel80?

Kongosho yaaani leo sherehe itachelewa kuanza... Watu wanatega saaana. Azima ile hazina ya Wifi King' naomba unisaidie kuwa mobiliese nikaangalie hizo shughuli zingine zaenda vipi!
 
Orait

Happy Birthday hommie!

yaani vinywaji siku za jumamosi vinasumbua....had to drive all the way hadi Illa na Chang'ombe kuhakikisha vinywaji vyote vipo....

Hapa nilipo jasho linanitoka

Sweetie hebu do ze nidiful walau jasho linikauke

Halafu huyu ndugu yetu JGwalu aanze kabisa kuporomosha miziki walau tuzoee kiduku....Leo ni kunywa kula kucheza hadi asubuhi!
Happy birthday ODM (again)...Biya inakupenda ila Baltika inakupenda zaidi! LOL
 
happy bday babu,sasa vile we ni mtoto mzee zawadi gani itakufaa?mi najito. Mwenyewe kama zawadi ntakuwepo kwa ajili ya kukukanda kanda mgongo,sidhani kama iyo kazi imepata wakuifanya,eti Ashadii?
 
Golden Mpolee, aisee what a home coming indeed! lol.... Naona umejibadilisha hopefully for the better dear.... Jua kua baba aumwa tu! Babu kamwe hakataagi wajukuu, the lot the better, hivo wewe m-wish tu hio Birthday, Huwezi jua maybe he will feel better na kupona kabisa!

Sweetie huyu Mpolee umempangia kazi gani....kama vipi anisaidie kusomba vinywaji....maana kina TF siwaoni. Mr rocky sijui kalala wapi jana:A S embarassed:
 
Afadhali! Haya yameisha ngoja nimpoze huyu Babu kwa kumkata kucha!

Happy Birthday ODM. Leo nakupumzisha Drip.

Da AshaDii, shemeji yake ODM, usisahau kumsafishia miwani yake vumbi

Yaani leo kwani nina ubavu wakukuudhi??? Walah! What ever you say goes.... Miwani eeeh? DONE!!!
 
Orait

Happy Birthday hommie!

yaani vinywaji siku za jumamosi vinasumbua....had to drive all the way hadi Illa na Chang'ombe kuhakikisha vinywaji vyote vipo....

Hapa nilipo jasho linanitoka

Sweetie hebu do ze nidiful walau jasho linikauke

Halafu huyu ndugu yetu JGwalu aanze kabisa kuporomosha miziki walau tuzoee kiduku....Leo ni kunywa kula kucheza hadi asubuhi!
Happy birthday ODM (again)...Biya inakupenda ila Baltika inakupenda zaidi! LOL

Sweetie that mission itaiba dakika 30 tu za siku ya ODM, Hizo dakika zatosha kuoga, kuku massage and you know what, ukitoka hapo utakua rejuvinated hun'.... Enything else?

Maana JG tayari yupo na Preta katika maandalizi ya Music, tushaambiwa sytle ya kuingia ni Kiduku! lol
 
Usipate tabu ntawasimamia
king'ast anawaza tu ataazima wapi kope, makalio na viatu

ngoja nichukue na bakora
lazima hii kazi ianze kwa wakati uliopangwa.

Kongosho yaaani leo sherehe itachelewa kuanza... Watu wanatega saaana. Azima ile hazina ya Wifi King' naomba unisaidie kuwa mobiliese nikaangalie hizo shughuli zingine zaenda vipi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom