<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Mwali hujachelewa... Come this way..... ADI chondechonde festiledi asiingie jikoni, bibie anadokoa mpaka maji ya ugali huyo!

lol..... Khaaa!! Hio kali... hata hivo msimamizi ni Happuch, sehemu nyingine ya kumpachika hamna, else tumpe kazi ya ku iron nguo za sherehe.
 
zawadi usijali.....ni ndafu iliyonona na mbaya zaidi naitengeneza mwenyewe....unataka ya kuchemsha au niichome kawaida......?

Preta nasikia wewe ni mmoja wa watao shughulikia entertainment? umetuandalia nini?
 
Mwali hujachelewa... Come this way..... ADI chondechonde festiledi asiingie jikoni, bibie anadokoa mpaka maji ya ugali huyo!

Naona wajukuu mna hamu na babu... Kuwe na shift kidogo... Michelle saizi zamu yake si umeona alitaka kulia hapo? Wewe saizi hakikisha vile vyombo spesheli kabisa vile vitatumika kama havijapitiwa na vumbi....lol
Anti si unaona mwenyewe? Babu ananitaka mimi ndio nikae nae... Ila kwa vile mimi nimtiifu ngoja nikatoe zile sahani, nizisuuze na kuzipanguza vizuuuuuri alafu nirudi kwa babu anikatie hadithi.
Bado tuna time, si wageni wanakuja kupata chakula cha mchana?
 
zawadi usijali.....ni ndafu iliyonona na mbaya zaidi naitengeneza mwenyewe....unataka ya kuchemsha au niichome kawaida......?
Tangu lini mtoto akala nyama. Tumia mimi tiketi ya KQ niende kliniki Johannesburg kupata chanjo ya polio. Na ile chanjo inaendana sana na Jack Daniels. Tumana na hiyo pia.
 
lol..... Khaaa!! Hio kali... hata hivo msimamizi ni Happuch, sehemu nyingine ya kumpachika hamna, else tumpe kazi ya ku iron nguo za sherehe.
Afu nani atafanya usafi toilet? Patia yeye hiyo kazi, asaidiwe na Lizzy.
 
Preta nasikia wewe ni mmoja wa watao shughulikia entertainment? umetuandalia nini?

kwanza kabisa naomba uwaeleze waalikwa waelewe kuwa....wimbo wa kuingilia ukumbini ni kiduku....hivyo basi ambae hatacheza kiduku atatolewa nje....zaidi ya hapo yanayofuatia ni sapraiz....
 
kwanza kabisa naomba uwaeleze waalikwa waelewe kuwa....wimbo wa kuingilia ukumbini ni kiduku....hivyo basi ambae hatacheza kiduku atatolewa nje....zaidi ya hapo yanayofuatia ni sapraiz....
Ndege mtini usikose, naupendaje wimbo ule!
 
Happy Birthday ODM, am not sure kama umesha recover, kama waweza njoo hapa Mzalendo Pub upige japo viroba! Halafu urudi tena kuendelea na dozi
 
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Asprin!
Mungu akujalie na kukuzidishia....
Asha, mi nldhani hii party mnaitupa kwa surprise kwa huyu babu? Sasa naona anaingilia shughuli za kamati yako.... Imekuwaje?
 
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Asprin!
Mungu akujalie na kukuzidishia....
Asha, mi nldhani hii party mnaitupa kwa surprise kwa huyu babu? Sasa naona anaingilia shughuli za kamati yako.... Imekuwaje?
Babu yetu mjanja huyu, hata AshaDii hamuwezi! alishtuka kabla yetu sote na kujitakia mwenyewe happy birthday. lol
 
Happy bday ODM,nakuombea afya njema na maisha marefu ya baraka tele.Wiselady anakupenda na anakumiss
 
Babu yetu mjanja huyu, hata AshaDii hamuwezi! alishtuka kabla yetu sote na kujitakia mwenyewe happy birthday. lol

hahahahahahaha kaaazi kweli kweli hawa mababu wa mjini, sema nlkuwa mbali ningemwambia doc amu-overdose ili atupishe kwenye kamati bana!
 
hahahahahahaha kaaazi kweli kweli hawa mababu wa mjini, sema nlkuwa mbali ningemwambia doc amu-overdose ili atupishe kwenye kamati bana!
Hata hivo hakuna kilicho haribika, hatujapata DJ... Preta ndio ana coordinate entertainment (music, MC, etc) ila DJ kama DJ hatujapata. Njoo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom