<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Thanks MJ1, babu yako anavyokupenda sijui umemlambisha nini!?

Mi nadhani it's about time ukaacha kushikilia dripu, babu amepona, anachofanya sasa hivi ni kudeka tu, hana lolote:lol:

Hahahahhaha Mwita afadhali umethubutu kulisema yaani amesharudisha mahari za watu kibao, wakati mwenzie mvi vishaanza kutoka kwenye vinyweleo!

We muache antampandisha presha na mimba ya shamba boy wake! ye anadhani mie sina mahitaji!
 
Yalaaaah MJ1, shamba boy wake? babu ataua mtu, unafikiri amesahau kushika kisu? ukisikia tu anasema "yethu na maria" kinachofuata ni kitendo.
Mi naona babu hakuutumia vizuri ujana wake, sasa anatumia nafasi ya wewe kuwa mtiifu kwake kukuharibia, anakubania rizki yako!:lol:
 
hata kama umeacha kunicheka bado nalia.... Nina ombi (only if you don't mind) ili ninyamaze kabisa naomba mtakie babu happy belated birthday.... Pleeeease....:A S embarassed:
babu (though sijui ni babu wa rika gani maana hata watoto wanaitwa majina ya babu)nimeombwa nikutakie happy birthday.:poa
 
Jamani sherehe imefika mwisho, watu na muende kwenye majukumu mengine ya kujenga nchi. Mwacheni babu apumzike na bibi yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom