<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

hapa naona wajukuu wameweka kambi!
Ngoja nitoe salamu zangu then misepe!
ODM, tukutane pale King Star au Zero pub nikupe maziwa yako!
Haeri ya kuzaliwa kiongozi

Aisee hommie we acha tu....ila hayo maeneo ya makutano hayo....
 
Heri ya siku ya kuzaliwa babu. Nakuombea uwe na furaha. Najua ukifurahi ndio utaweza kutuchekesha na sisi tufurahi.
 
Naam..mimi Ankal wako, Sweetie ni Auntie yako....wewe unakuwa mpwa wetu (niece)

Vipi utanisaidia kubeba makreti ya castle light?



Sweetie..... Taratiiibu... TRUST is earned you know.... Leo mimekuambia pick from my selection na usitake kuniudhi!
 
Orait twen zetu....muda unaenda ivo....tusije chelewesha vinywaji breweries leo kuna foleni,

Halafu nimekumbuka hivi hatutahitaji ice cream za azam tupitie kabisa?

tunahitaji za kutosha, si unajua mwali hanywi maji ya dhahabu? Yeye atalamba icecream.
 
tunahitaji za kutosha, si unajua mwali hanywi maji ya dhahabu? Yeye atalamba icecream.

Orait so tutapitia kwa Bakhresa hapo Hus..mwambie mwali ajiandae si tutaenda naye pia au atazilamba njiani kabla hazijafika?
 
Nipo poa AD, hapa namuandalia ODM ile kitu roho inapenda!



Hivi Kimey welfare ya babu inazingatiwa kweli? what I know vitu vyooote roho yake yapenda kapigwa stop na imebaki moja tu! Nayo lazima imuhusu Mama Matesha.....lol
 
Sweetie I need a Man's helping hand hapa.... Shem RR kama kawaida huja wakati kazi zooote zimeisha, What if nikiwa na Kimey hapa? :eyebrows:

Huyu RR unajua sijui mataputapu? Yeah U can have Kimey for the time being, tukirudi sherehe imeanza then tunaresume majukumu yetu. So Kimey ataenda Langoni kucheki ulinzi na wazamiaji.lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom