ha ha ha haaah!! Leo mtoto inabidi apumzike kupokea wageni.Happy birthday Katavi.
Leo niachie jukwaa la utambulisho basi.
Nashukuru sana Kaeso..Mwenyezi Mungu akujalie afya njema unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa. Pia akujalie miaka mingi zaidi. Happy Birthday Katavi.
Asante sana Erickb52.Happy birthday mzee wa jukwaa la mapokezi...pokea baraka za kuishi miaka mingi kwa amani
Leo me mtoto, kule nakuachia wewe..Happy birthday Katavi.
Leo niachie jukwaa la utambulisho basi.
Whaoooo!! Asante sana Sizinga, ningekuwa kule Ntwara ningekualika pale Makonde Pub au mduleni tusherehekee...Waoh Katazi...mzee wa "Short Comments"....hembu nizimie hiyo mishumaa!!
ha ha ha haaah!! Leo mtoto inabidi apumzike kupokea wageni.
Thanks..........Katavi sio Katazi.Haya bana Hbd Katazi...ubarikiwe!!
Enjoy
Uwanja wako mkuu.Leo najitolea kumasiaidia mapokezi
Asante..Halafu chukua hii
Thanks.hongera kwa kuongeza umri mkuu
Halafu chukua hii
Kwa hisani ya Sizinga,Happy bday Katavi