Kusherekea kutimiza miaka 23, Zuchu atoa kompyuta 5 shule yake ya zamani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,437
1700687658427.jpg

Wasanii wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Zuchu. Bata kidogo na misaada kidogo.

Wakati akisherekea kutimiza miaka 23 ya kuzaliwa,Zuchu amemtuma chawa baba Levo maeneo ya zanzibar kupeleka kompyuta 5 kwenye shule yake ya zamani zikawasaidie katika uchapaji wa mitihani.
Happy birthday Zuchu.
 
Mbona kule google wanatuambia vingine sa?
View attachment 2822190
Hahahahaaa.

Nimeshangaa sana kusikia eti ana hiyo 23 anayoisherehekea.

Huyu kabla ya kutusua si alikuwa kashakuwa mzee kabisa, hata kama hela ni sabuni ya roho, ila haiwezi kurudisha nyuma umri.

Sawa atanawiri ila umri hauweiz kurudi nyuma.

Kudanganya umri kwa Waafrika imekuwa desturi yetu.
 
Huenda alishasahau kama ana miaka 30. 😂
Kudanganya umri kwa Waafrika imekuwa desturi yetu.
Kabisa tumeshazowea kudanganya umri na tunasahau kabisa kama sura huwa zinaongea mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom