Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,062 25,403 Oct 14, 2023 #1 Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia Nyani mzee kakwepa mishale mingi Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia Nyani mzee kakwepa mishale mingi Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Leejay49 JF-Expert Member Feb 10, 2023 12,835 39,694 Oct 14, 2023 #2 Happy birthday ciccy Amehlo 🎉🎉😙,, ishi sanaa huna baya🥰😘
Red black JF-Expert Member Nov 29, 2019 2,375 5,762 Oct 14, 2023 #3 amehlo ndio umefikisha 45yrs siyo??
bonjov JF-Expert Member Mar 16, 2015 506 1,278 Oct 14, 2023 #4 HBD kwako Amehlo... Mungu akubariki sana
Donatila JF-Expert Member Oct 23, 2014 7,557 21,513 Oct 14, 2023 #8 Happy birthday Mamy... Msalimie mjomba
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,992 94,012 Oct 14, 2023 #9 Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake...
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake...
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,062 25,403 Oct 14, 2023 Thread starter #11 Leejay49 said: Happy birthday ciccy Amehlo ,, ishi sanaa huna baya Click to expand... Thanks baby sisy
Leejay49 said: Happy birthday ciccy Amehlo ,, ishi sanaa huna baya Click to expand... Thanks baby sisy
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,062 25,403 Oct 14, 2023 Thread starter #12 Red black said: amehlo ndio umefikisha 45yrs siyo?? Click to expand... Acha tu
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,062 25,403 Oct 14, 2023 Thread starter #13 Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... Ndo natafuta mjomba
Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... Ndo natafuta mjomba
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,062 25,403 Oct 14, 2023 Thread starter #14 Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... nipo hapa we nipe location tu
Watu8 said: Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Amehlo... Ungekuwa jiji la Chalamila ningekupeleka Orchid Cafe tukapate sponge cake, ikisindikizwa na oreo shake... Click to expand... nipo hapa we nipe location tu
Amehlo JF-Expert Member May 8, 2019 9,062 25,403 Oct 14, 2023 Thread starter #15 Zulu man said: Have a great one m...a! Click to expand... Thanks
Leejay49 JF-Expert Member Feb 10, 2023 12,835 39,694 Oct 14, 2023 #16 Amehlo said: Thanks baby sisy Click to expand... Have it all 👏.. one love ❤💋
Zulu man JF-Expert Member Nov 28, 2020 5,011 13,264 Oct 14, 2023 #17 Amehlo said: Thanks Click to expand... Thanks hujaisindikiza na makopa ya upendo ,why mama?😅
Grahams JF-Expert Member Mar 19, 2016 11,102 34,226 Oct 14, 2023 #18 Kama Mashangazi mnakimbiza soko la kuolewa namna hii hadi Slay Queens wanajuta kuwafahamu, basi hakuna haja ninyi kujuta kuitwa maShangazi 🤗 Huku Kijijini tumeandaa Togwa na Mbege kwaajili yako 🤪 Heri ya Kuzaliwa Mkuu Amehlo
Kama Mashangazi mnakimbiza soko la kuolewa namna hii hadi Slay Queens wanajuta kuwafahamu, basi hakuna haja ninyi kujuta kuitwa maShangazi 🤗 Huku Kijijini tumeandaa Togwa na Mbege kwaajili yako 🤪 Heri ya Kuzaliwa Mkuu Amehlo
binti kiziwi JF-Expert Member Aug 4, 2014 8,904 22,292 Oct 14, 2023 #19 Hbd sweetheart. More candles to blow!
financial services JF-Expert Member May 17, 2017 17,135 40,702 Oct 14, 2023 #20 Happy birthday dear, uishi miaka mingi🥳