"Happy Birthday KATAVI"

HPPY BRTHDAY MKUU, Ndio miaka 70 na ngapi vile??!
MAPROSOO.

Asante Maprosoo, hiyo miaka bado sana.
MAPROSOO Mkuu, umeshamuharibia dogo Katavi siku yake.
Birthday si siku ya kukumbushana miaka bali kuisahau iliyopita na kufurahia ijayo.

Dogo Katavi, Hongera sana kwa ksherehekea siku ya kuzaliwa kwako (sio miaka yako).
Mungu akujaalie uishi mingi, mingi, mingi zaidi ukiwa mwenye afya, furaha ...na vijisenti kidogo.
 
I am dancing and singing on your birthday!
Only that you cant see me!!
Happy birthday
Wish I was celebrating with you.
images
 
MAPROSOO Mkuu, umeshamuharibia dogo Katavi siku yake.
Birthday si siku ya kukumbushana miaka bali kuisahau iliyopita na kufurahia ijayo.

Dogo Katavi, Hongera sana kwa ksherehekea siku ya kuzaliwa kwako (sio miaka yako).
Mungu akujaalie uishi mingi, mingi, mingi zaidi ukiwa mwenye afya, furaha ...na vijisenti kidogo.

Huyu Maprosoo sijui vipi kunizeesha wakati anajua mimi bado dogo....... Asante sana kwa dua zako, ubarikiwe!
 
Kumbe watu wanaogopa kuzeeka?!! .......usiogope kuzeeka sio kufa. once again hppy brthday katavi.
MAPROSOO.
 
MAPROSOO Mkuu, umeshamuharibia dogo Katavi siku yake.
Birthday si siku ya kukumbushana miaka bali kuisahau iliyopita na kufurahia ijayo.
.
MAMMA100 Nlikua sijui kama namwaribia SIKU!!
MAPROSOO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom