hapa udenda unawadondoka baadhi ya member wa jf

aisee chalii angu umetoa wapi hii kitu,vipi tena mnama? Hii makitu umeitoa wapi jombaa ni pande za ngulelo,sanawari au mianzini? Full andas!mia
 
Hilo gomba linaitwa kombo! Limesimama mbaya! Handas lake likikunasa unapenda utulivu! Safi!
 
293010_178976418903462_868757834_n.jpg

mia

Mirungi
 
Oyaa Jombaangu niajeniaje tena na hii makitu aseeea!
Acha noma arifu, hii stimu ya ya maukwe....maukweli atii!
Mzigo wa wapi...Tengeru, Odonyo-Sambu au Meru?

hii kitu imeruka boda arifu.
Inapatikana pale pembeni ya msikiti mkuubwa hiyo barabara ya kupandisha ccm ukitoka hapo soko kuu hesabu kama nyumba tano hivi utapata mzigo wa kutosha

Halafu nasiki ni bibwa wa kumaliza nguvu za kiume inauchosha mwili vibaya mcheki huyu mskaji.


BIASHARAYAMILUNGI.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom